Granter
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 483
- 364
- Thread starter
- #1,141
Duuh,,,,, kumbe, mnaolia kwa utamu hongereni xana,,, sio wanaolia ukisikiliza vizuri unagundua anaenda na biti la Music flan,,,,Kuna vilio vya kuigiza. Kilio cha ukweli ni kitamu mno maana hakuna kuremba lisauti linakutoka na udenda juu. Ila ndo mpaka upate wa kukuliza ndio kaziiiii
Wanawake mmejaliwa maajabu


wewe? Una
? Au ndio hiyo Lexus SUV? Jibu la swali lako limezunguka hapo kwenye maswali yangu.