Kwa kauli kama hizi, bado tuna safari ndefu!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,120
24,666
ALIVYOSEMA
"Nawashukuru sana kwa kunichagua lakini pia kwa kunipa wabunge wa CCM, mngechagua wale wangine nisingeweza kufanya nao kazi. Mimi nikiwaambia watu walime wapate chakula, wao wangekuwa wanazunguka wanasema kuna njaa, nikipiga vita dawa za kulevya, wao wangekuwa wanawachukua wale wahusika na kuwaambia njooni kwetu" - Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Akili zake ndipo zillipoishia hapo. Halafu eti kuna watu wanathubutu kumfananisha huyu na Baba wa Taifa! TWAFAA!

Back
Top Bottom