kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
Ndo mwisho hapo mkuuMkuu nipo na version 4.3 jelly bean, naomba namna ya ku upgrade. Ni huawei y 530-u00
Ndo mwisho hapo mkuuMkuu nipo na version 4.3 jelly bean, naomba namna ya ku upgrade. Ni huawei y 530-u00
Duuuuhhh,Ndo mwisho hapo mkuu
Tecno M5 mkuuNdo simu gan hyo mkuu
Hiyo mkuu ndo mwisho wako hapo mkuuTecno M5 mkuu
Hiyo ndo rahisi sana na haina madhara yoyote kwa simu yakoVipi kuhusu kui update..ninatumia J5 5.1.1 Lollipop..juzi nilenda about na nikaclick sehemu ilioandikwa Software Update...Nikaambiwa kuna update mpya ya Mashmallows 6.1..Click YES to update..
Kwa njia hii siwezi Ku-update ??
Gud kiongoz mzigo mpya nw..Fanya vile nakwambia basi
Alaf nna changamoto nyingine....nna memory card gb 62 ila nikiweka mfno picha au nyimbo baada ya mda zinatowekaHapo ndo mwisho wako...otherwise hapo utumie customs roms,hii ni kaz nyingine sasa
Fanya kuscan hiyo memory...mchezo ukiendelea basi memory ya kichina ndo michezo yake...huna budi kutafta memory originalAlaf nna changamoto nyingine....nna memory card gb 62 ila nikiweka mfno picha au nyimbo baada ya mda zinatoweka
Labda ishakufa coz nmescan karib na ant virus kbao but ndo hvyoFanya kuscan hiyo memory...mchezo ukiendelea basi memory ya kichina ndo michezo yake...huna budi kutafta memory original
Tayar hapo mkuu hakuna memoryLabda ishakufa coz nmescan karib na ant virus kbao but ndo hvyo
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Cha msingi asichomoe bettry kabla haijamalizaHiyo ndo rahisi sana na haina madhara yoyote kwa simu yako
Weka link mzee ya hio firmware tuipakueDownload custom recovery hapa Dev-Host - philz_touch_5.18.9-i9505.tar.md5 - The Ultimate Free File Hosting / File Sharing Service
Download odin hapa
Download Odin3_v1.85.zip | DevFiles.co - Free file hosting for Android devs!
Samsung driver
Download SAMSUNG_USB_Driver_for_Mobile_Phones.exe | DevFiles.co - Free file hosting for Android devs!
Download hizo files zote kwenye computer yako...ukimalza rudi ntakupa rom na gapps yake plus jins ya ku install rom na hyo recovery.
Una simu ganWeka link mzee ya hio firmware tuipakue
Mzeiyaaa..nmepewa memory card nyingine ila inagoma kuformat hata kwa command promptUna simu gan
S4 GT-9500Una simu gan
Root sim weka recovery ntakupa romS4 GT-9500
Wacha maneno weka link ariffRoot sim weka recovery ntakupa rom
cm-13.0-20160101-UNOFFICIAL-GearCM-i9500.zip | by Alberto96 for Galaxy S4Wacha maneno weka link ariff
Hiyo mkuu ndo mwisho wako hapo mkuu