Recent content by ESPIRIT

  1. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

    Asante mkuu kwa msaada
  2. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

    Mkuu computer hp ilikuw natumia vizuri nikaizima, alafu kuja kuiwasha tena haiwaki. Lakini nikiweka waya wa power inaonyesha inaingiza moto vizuri. Je, shida ni nini?
  3. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Naomba maana ya ndoto hizi

    Mimi ni mwanaume wa miaka 30 hivi. Siku hizi nimekumbwa na ndoto za ajabu sana. 1. Kuota naongea na mbwa then mbwa anabadilika badilika, badae anakuwa kama mwanamke, halafu ananiomba nimfanye mapenzi, namfanya alafu anafurahi sana, anatamani niendelee 2. Kuota nahutubia watu, anakujua mtu...
  4. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania T.O aoa:Huyu ndio mke wa T.O Form 6 mwaka 2012

    Mbn wote wazuri
  5. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania MAMA TANZANIA UKO WAPI?

    Ndugu James F Mbatia uko wapi? Wana Vunjo tumechoka. Hakuna kinachoendelea jimboni. Huonekani, au u mgonjwa?!
  6. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

    Ooh my Goshh..
  7. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa quote link ya thread

    CAG: makato ya bodi ya mikopo toka 8%-15% inakiuoa sheria kuna watumishi wanateseka na makato makubwa
  8. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Asante sana Dr
  9. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Vitu 3 ambavyo hutakiwi uvifanye kwenye mitandao ya kijamii

    Mh mbn JF imeniokoa na kifo???
  10. ESPIRIT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    Anjel tusitaniane, pumbavu mkubwa kisirani weee. Wewe ni mnaa sana. Nini kunifanya bwege, unaenda kumbwato na wengine alafu unanijia usiku eti una hamu. Nakataa nasema naumwa, eti unalia. Halafu nakomaa sikuto*** baada ya miezi miwil una mimba. Hujui aliyekupa. Nenda huko malaya weee. Ndio mana...
  11. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kuajiliwa!!

    Hongera sana. Wewe ni mwalimu?
  12. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya jiji la Arusha yaandaa maandamano makubwa ya michezo April 26, 2018

    Nawaangalia tu najisemea hiiii
  13. ESPIRIT

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye hizi picha za Makamu wa Rais akiwa kwenye ziara mjini Magharibi?

    Nampenda kwa sababu 1.Ana Kiswahili fasaha 2. Anajua kutofautisha kati ya R na L. Sio kama fulani.
Back
Top Bottom