T.O aoa:Huyu ndio mke wa T.O Form 6 mwaka 2012

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
April 23,2018 ilikuwa siku nzuri kwa T.O Belnadino Mgimba.Hongera sana T.O

31195631_1277473809055957_8481620227040501819_n.jpg
 
Yule wa chemical alikuwa wa pili form 6.
Na kuna kasichana Fulani kaTO ka mwaka huo kalikuwa kanapga CoIT ,nadhani kama sio TE ilikuwa Computer engineering, VP ameolewa tayari,kama bado nitafurahi nikipata namba zake
 
Hao ma TO ndio wanakuaga wakina nani huku maishani?? Mawaziri??
Ajabu masikini ya Mungu hawa baadae unawakuta wanaajiriwa na boss fulani tu hivi kichwani mweupe kabisa sometimes alikimbia kitabu.

TO Tanzania utaishia kuandikwa kwenye magazeti na kukamata watoto wazuri tu but in reality utaonekana kapuku tu kwa wenye nazo.

Hii sio sawa hata kidogo......
 
Back
Top Bottom