Sasa hivi bonyezq Vidoti vitatu hapo juu... Kisha nenda sehemu ya kuandika paste hapi itatokea
Shida yangu ni namna ya ku quote nafanyaje? kwa mfano kumtagi mtu, najua nina click @ halafu jina mtu bila kuacha space sasa je kwenye hizo link niguse wapi na wapi?![]()
aina ya tatu
unataka ipi kati ya hizo...!???
Kumbe na wewe ni muhitaji kama mimi, karibu tuwe na subira atatokea tu msamaria atusaidiaHawatak kuTUsaidia, wanasubur ukosee wakutusi...wabongo bwn
http://Naomba msaada wa quote link ya threadNaombeni msaada wa wa namna ya ku quote link ya thread fulani! Kwa mfano labda mtu aliweka thread yake sasa nataka ku quote kile kichwa cha habari (link).
Sijui nimeeleweka! Mfano kama wewe unataka ku quote hiyo heading yangu hapo juu
Naombeni msaada wa wa namna ya ku quote link ya thread fulani! Kwa mfano labda mtu aliweka thread yake sasa nataka ku quote kile kichwa cha habari (link).
Sijui nimeeleweka! Mfano kama wewe unataka ku quote hiyo heading yangu hapo juu