Recent content by ESCROW ZA UMMA

  1. E

    JamiiForums Tanzania Laiti wananchi wangeisoma ripoti ya CAG mapema

    Watu msifikie hatua ya kufikiria kwa ajili ya mtu mwingne, pesa ile ilikuwa na mgogoro ,ilikuwaje kabla ya kumaliza mgogoro pesa iwe ya iptl? tatizo wachangiaji wengi wapo kimaslahi, nchi haitaendelea kwa kuwa na watu wanaotazama matumbo yao.over
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nimetokea Kutowapenda Kabisa Wabunge wa Singida!

    Nasisi hatukupendi hata!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wajue wazalendo na wazawa wanaotupotosha

    weka ushahidi, kisha jitahidi kuweka aya! over.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Nachelea kusema watu tunatumiwa vibaya, hv rushwa imetamalaki kila kona, hv kukemea rushwa bla vitendo kunasaidia? wangapi wamekemea ufisadi cjui malecela ane n.k lakima vitendo hamna. anakemea rushwa anakula rushwa. hvyo basi mleta mada huna nia ya dhati kwa hili bali sema una kambi fulani tu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ukiandikiwa hivi na mpenzi wako wa zamani inamaanisha nini?

    Kulingana na tafakuri yangu binafsi, nafasi unayo kubwa sana kumpata , basi pasha tena. lakn mm mtu akishakuwa ex.... nadelete kila kitu kwenye ubongo wangu au nachoma faili lake, so no remarkable at all.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wananipenda jumla sijui kwanini

    Mleta thread unatokea mkoa wa kajaribu? Mana ni tu mach.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Msichana wangu anataka kuja Nyumbani kunitolea Mahari

    Duuuu umeuaaaaa, jamaa atapata sitiless mara milioni.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Mimi ni afisa kilimo II WILAYA YA HANDENI ,TANGA,Nataka kubadilishana na mtu kutoka wilaya za kilolo, iringa mjini au iringa vijijini.kwa mawasiliano .0685786929
Back
Top Bottom