Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Siwachukii, lakini yani sijui kwa nini tu damu yangu haiwakubali hawa wabunge wa Singida!
Tundu, tangu awatukane vikongwe wa taifa hili ndio sina hamu naye kabisaa!
Mwigulu, sina specifi reason, sijui tu ni jilas kwamba kijana mwenzangu katoka wakati me bado na hussle? Lakini ni kama vile namuona anafanya kazi kwa kutumia media sana! Angependeza kama angekuwa 'silent Killer'
Nyalandu naye, kipindi cha nyuma nilianza kumkubali, but enzi zile nikamuona kama na vitabia vya kujisikia sikia, basi nikamtoa moyoni mwangu!
So far, Singida imebarikiwa kuwa na wabunge ambao wako Bright upstairs, wajitahid wakapate kozi kwenye chuo cha utumishi wa uma ili wapunguze madhaifu yao, ili wakubalike na watu wengi zaidi, ikiwezekana hata mimi nikawapenda tena kama ilivyokuwa zamani!