Recent content by erneus kyambo

  1. E

    CUF kulikoni?

    Ok unsema ni matokeo ya mfumo wa kikristo, kwani kikwete hajauona?
  2. E

    CUF kulikoni?

    mimi niko huku k'koo ni ukweli kabisa! Zaid ni wazee na vijana wa kiswahil, wanaoshinda kunywa kunywa kahawa na ukiwachunguza utagundua hawana elimu kabisa! Tatizo lao wao wanaamini kuwa siasa ni ushabiki kama vile wa timu za Simba na yanga hivyo hata timu yako ifungwe vp bado wataendelea...
  3. E

    Kazi za Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA

    acha mawazo mgando, unataka kila tawi atakalo fungua aite media ili zireport, tunakujua wewe, Heche alikushinda kwenye kinyang'anyiro alaf leo unataka kuleta uchuro wako wa magamba!
  4. E

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    Hongera cdm, safari huanza kwa hatua moja ila safari yenu Igunga imeanza kwa hatua mia moja! Magamba hamna cha kujivunia kwa ushindi kiduchu wa uchakachuaji
  5. E

    Msimamo wa Michael Sata kwa wachina, sisi je?

    Good! Hata huku k'koo hatuwataki
  6. E

    UVCCM Ngara yakunwa na ziara za CHADEMA wilayani humo

    chadema msilale, ninyi ndio mnaongoza nchi hii
  7. E

    Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani!

    Yes we can, ukombozi umewadia, hakuna la kutushinda hakuna wa kutushinda!
  8. E

    Kuhusu maandamano ya kumpinga rais wa Tanzania Washington DC

    nimejihisi kutapika kwa ujinga ulio uandika hapa, 1. Wale ni watanzania ambao ni ndugu zetu na wanaumia kuona sisi ndugu zao tunaumia na kupata shida bila sababu ya msingi. 2. Hata wao wanaatthirika kiuchumi wao binafsi kwani lazima watumie sehem ya kipato chao kwa kuwatumia ndugu zao ambao...
  9. E

    Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki...

    wow! Chama cha magamba(ccm) kimekufa kabla ya mzee wetu
  10. E

    HOTUBA YA MFUNGWA: Wanasiasa na wadau wote wapenda haki na maendeleo!

    Hii ni hotuba ya iliyoandikwa na mfungwa mswahili, ni hotuba inayosisimua sana, hotuba hii inaeleza uhalisia wa maisha ya gerezani, inaelezea ombwe la uongozi lililopo katika nchi yetu, imeenda mbali zaidi kuonyesha gap lililopo kati ya watawala na watawaliwa pia mfungwa huyu amejitahidi...
  11. E

    Hii ndiyo rekodi ya uchapakazi wa Lowassa

    Duh! Kumbe huu ndio uchapakazi ambao Sofia Simba alikuwa akimsemea Lowassa! Basi nimeamini kuwa uwezo na upeo wa Sofia Simba katika kutafakari na kuchanganua hoja, imenifanya niamini kuwa aliposema ''wanawake wawanyime ngono waume zao kama sio wafuasi wa ccm'' hakukosea bali ilikuwa mwisho wake...
  12. E

    BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

    ccm lazima ife ndio watanzania tujipatie katiba mpya, mzee wetu na nabii wetu ameshatutabiria kuwa hata kufa kabla ya ccm kufa! Na ukweli kwa hali ya ccm ilivyo sasa naifananisha na 'mzee mgonjwa' aliye zeeka kushinda hata mzee wetu wa leo! Hivyo mzee wetu hatakufa kabla ya sisi kufanya matanga...
  13. E

    Hotuba ya Lema imefunika Hotuba za Mbowe, Zitto, Mnyika na Mawaziri Kivuli wote wa CHADEMA

    Eee bwana! Umenena hotuba ya Lema ni ya ukombozi wa Taifa hili, hotuba ya Lema ndio hotuba yenye msisimko kuliko hotuba zote zilizowahi kutolewa bungeni kutika bunge hili la kumi sio kwa upinzani sio kwa serikali, Lema amefunika zote hadi sasa! Tunaomba kambi ya upinzani itupatie nakala ya...
  14. E

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Chadema tunaamini ktk mabadiliko, na vijana ndio nguvu ya mabadiliko, Vijana makini na mahiri ndani ya chadema wapo wengi sana! Chamsingi Dr. asimamie na ashiriki kisawasawa katika upatikanaji wa kamanda
  15. E

    Mdahalo: Ndugai vs Lissu - Jumamosi Julai 30

    Nashukuru Mungu CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) Tumepewa fursa nyingine kuonyesha uwezo wetu wa kuwatetea watanzania pia ni nafasi nyingine adimu ya kuuanika usanii wa chama cha magamba(ccm) hadharan, Pls wanaJF tusikosee hiiii! Jobless Ndugugani baada ya Mbowe kukushika na...
Back
Top Bottom