CUF kulikoni?

CUF kulikoni?

Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?

Mkuu' nadhan kukosa kazi na vitu vingine vinavyofanana na hvyo siyo swala kubwa sana kwani chama kinatakiwa kiwe na wanachama wa mbika(aina) zote' Tatizo la wafuasi wa Cuf nadhani ni uwezo mdogo wa kukitanua chama hapa tatizo kubwa ni uwezo wa kushauri na kubuni mbinu za kukikuza chama inawezekana hii ndiyo sababu ya Cuf kurudi nyuma/kuzidi kufifia hapa Tanganyika!
 
Kuna watu humu ndani wanatafta mabwana wa kuwaoa.ivi unaposema waswahili na wanywa kahawa vijiweni unamaana gani hasa.naona kuna ajenda unaificha af unadhan kila mtu ana tope kichwan km wewe..kwa iyo cdm ndo ya wasomi? Any wy kw ufupi hao waliopo vijiweni wakinywa kahawa wasio na elimu ni matokeo ya mfumo kristo uliotengenezwa kwa mda mrefu ambao cdm wanapambana kuuendeleza kwa uwazi zaidi apa tz.naapa hautafanikiwa.
Mfumo Kristo unamaanisha nini?, usituletee story za kwenye mihadhara mnayofanya manzese. km mlishindwa kuchakalika na maisha mkaishia vijiweni huo ni ujinga wenu. Tuacheni na imani yetu, huwa tunawasikia sana kwenye mihadhara yenu, ila tunawapotezea tu coz tunajua ukristo haujawahi kushindwa, haujashindwa wala hautakuja kushindwa kwa sababu tu ya mihadhara ya kipuuzi ya watu wenye upungufu wa mawazo. Km unaongea siasa ongea siasa, ila usiguse imani za watu. hili ni jukwaa la siasa.
 
dah, bonge la bias ktk research yako. nenda arusha mitaa ya unga limited utawakuta wavuta bangi ndo wanazi wakubwa wa CDM yako. nenda moshi kwenye vilabu vya mbege, nenda milembe hospital afu uje na hizo outcomes zako kama hujachekwa humu.
mwambie huyo punguwani,nahisi amevimbewa mbege.
 
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
HV TLP bado ipo? du bora CUF jamani kuliko TLP!
 
mfumo kristo unamaanisha nini?, usituletee story za kwenye mihadhara mnayofanya manzese. Km mlishindwa kuchakalika na maisha mkaishia vijiweni huo ni ujinga wenu. Tuacheni na imani yetu, huwa tunawasikia sana kwenye mihadhara yenu, ila tunawapotezea tu coz tunajua ukristo haujawahi kushindwa, haujashindwa wala hautakuja kushindwa kwa sababu tu ya mihadhara ya kipuuzi ya watu wenye upungufu wa mawazo. Km unaongea siasa ongea siasa, ila usiguse imani za watu. Hili ni jukwaa la siasa.
hii thread itafungwa muda si mrefu.
 
Nenda pia kariakoo utakuta wazee wamekaa tangu saa 1 asubuhi wanakunywa kahawa mpaka jioni hata sijui kazi wanafanya saa ngapi, tawi lipo pale zinapo park daladala za k/koo Mbezi au Mwenge

Wazee wa mjin hao.mwisho wa mwez wanapokea kod zao kaz ya nn sasa
 
Kuna watu humu ndani wanatafta mabwana wa kuwaoa.ivi unaposema waswahili na wanywa kahawa vijiweni unamaana gani hasa.naona kuna ajenda unaificha af unadhan kila mtu ana tope kichwan km wewe..kwa iyo cdm ndo ya wasomi? Any wy kw ufupi hao waliopo vijiweni wakinywa kahawa wasio na elimu ni matokeo ya mfumo kristo uliotengenezwa kwa mda mrefu ambao cdm wanapambana kuuendeleza kwa uwazi zaidi apa tz.naapa hautafanikiwa.
Ok unsema ni matokeo ya mfumo wa kikristo, kwani kikwete hajauona?
 
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?

Hiyo inatosha kukihukumu chama?
 
Huu sasa ndio ule ubaguzi tunaoukataa, ok wewe chama chako ni cha wasomi je kwa kula za wasomi pekee au wafanya kazi ndizo zitawaletea ushindi. Kama hawajaja kukuomba chakula kinakuuma nini wao kuwa washabikia cuf?

Bonge la swali!!!
 
CUF vs Chd ndani ya uzi huu,kwa hali hii 2tegemee giza mbele.
 
Back
Top Bottom