Recent content by Erica mwaisumo

  1. Erica mwaisumo

    Je, utakubali kuoa/kuolewa na mtu ambaye hawezi kuzaa/kuzalisha?

    Nitakubali coz ninachoamini hakuna kinachoshindikana kwa Mungu.
  2. Erica mwaisumo

    Tunasimama na Rais Magufuli

    Ametutoa kutoka elimu ya malipo kwenda elimu bure lakini bila ubora wa miundo mbinu huko mashuleni, Pia ametutoa kwenye mbaazi kilo9000 hadi 300 Ametutoa kwenye gunia La mahindi gunia 100000 hadi sh 20000 Kweli tutanyooka nae
  3. Erica mwaisumo

    Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

    Ukileta usuper star wako kwenye ndoa,lazima ikushinde. Tunaweza tukaangalia upande wa huyu dada je,upande wa mwanaume kuna nini ndani yake? Mda mwingine wanawake tunapenda kulalamika wakati huo wewe husimami kwenye nafasi yako.unataka na wewe uonyeshe kuwa uko juu ya mwanaume coz unaweza kila...
  4. Erica mwaisumo

    Amelipa mahari milioni 4!

    Million 5 kitu gani? Yeye mbona atafanya mengi sana kuliko hata hiyo hela katika maisha yako!!! Acheni kulia lia wanaume kaaa
  5. Erica mwaisumo

    Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Ndio mana wewe ndoa ilikushinda sasa unataka kuharibu na ndoa ya wenzako.una laana wewe,kwa nini utake lift kila siku tena kwa mme wa Mtu?
  6. Erica mwaisumo

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Tatizo watu wanashindwa kutofautisha Elimu na ndoa.ukisimama kwenye nafasi yako wala hakuna tatizo kuoa msomi.Hata ukiwa na elimu mbele ya mume unatakiwa kushuka na kuisimamia nafasi yako kama mke.Pia kama ni mume umeoa asie na elimu ni wakati wako kushuka ili mwenzio asijione tofauti.
  7. Erica mwaisumo

    Tuweke kumbukumbu sawa, Bethlehem alikozaliwa Yesu sio Israel, ni Palestine

    Mimi nivyosoma Quraan ilishushwa kwa kupitia mhamad, na ndiye mwasisi wa uislam. Sasa musa na Ibrahim wanakueje waislam kama walikua kabla ya Muhammad. Acha upotoshaji uislam ni dini ya kukopi na kupest.
  8. Erica mwaisumo

    CRISSMASS PANDO LA MWANADAMU

    Yesu alizaliwa au hakuzaliwa? Na kama alizaliwa inakuumiza nini mimi au wewe kusherekea siku ya kuzaliwa kwake,Na upagani unaingiaje hapo? Wanaokataa kusherekea siku ya kuzaliwa Yesu ni mpagani kwa maana sisi ni mwokozi wetu
  9. Erica mwaisumo

    Askofu Shao amgeuka Magufuli, asema mizengwe kwenye uchaguzi mdogo ni ishara serikali haielewi maana ya demokrasia

    Siasa ni maisha ya watu,wanaoumia ni hao hao waumini kwa hiyo ni vema tu kwa viongozi hawa kukemea uozo
  10. Erica mwaisumo

    Kuishi nyumba moja na wakwe

    Wengi watapenda muishi walivyoishi wao.sio rahisi kama mnavyofikiria
Back
Top Bottom