Wanawake wavae majuba na wanaume kanzu

Wanawake wavae majuba na wanaume kanzu

Wengine hatuna vitambi vya kuvalia kanzi aise...
 
Nguo nzuri alafu unaichana chana...

Nguo nzuri unaipigia mpasuo hadi kwenye kinena...

Suruali nzuri lakini imekuchora mpaka nguo ya ndani zinaonekana...

Sketi nzuri lakini fupi mpaka ukikaa unaishikilia au unakaa upande upande...

Jeans nzuri inakunana mpaka ukikaa nyuma matako yote wazi na chupi hamvai...

Blouse imekubana kifua mpaka kuongea unashindwa unahema juu juu...


Cc: mahondaw
 
Usivae sketi fupi ikiwa na maana uvae sketi inayofunika magoti.. usivae mlegezo .. usivae nguo za kubana sana
 
Hapa ni mwendo wa Kim tu.
Nao walianza taratibu kama hivi, mwisho tutaambiwa kuvaa t-shirt na Jeans marufuku, kisa Triump kawatusi Afrikans..!
 
Mbavu zangu r u serious tutembee uchi
Tuvae vingozi kama zamani tu.
2573641436_cefbfde9be_b.jpg


907.jpg
 
Back
Top Bottom