Rais Magufuli kuzindua jengo la Mfuko wa PSPF na tawi la Benki ya NMB Jumatatu

Hivi bara bara ya Dodoma kondoa anaenda kuzindua wakati imeaza kutumia karibia mwaka sasa au zaidi. Mm binafsi nimepita hii bara bara mwezi wa tisa mwaka jana nikitokea Mbeya hadi Arusha kwa bus la Arusha Express
 
Mkuu mtake radhi diamond,shows zake ni adimu sana!!!! Ataenda hapo kuzindua kajengo kaghorofa 2 na msululu wa mawaziri. Serikali ya kubana matumizi!!!

Nyumbani kwangu vibaka walikuwa wanaiba sufuria na nguo kwenye kamba sasa nimezungushia ukuta-naombeni msaada kwa wahusika waje wauzindue!!

Unazungushia ukuta nyumba, unaacha makalio yako nje!
 
Hivi bara bara ya Dodoma kondoa anaenda kuzindua wakati imeaza kutumia karibia mwaka sasa au zaidi. Mm binafsi nimepita hii bara bara mwezi wa tisa mwaka jana nikitokea Mbeya hadi Arusha kwa bus la Arusha Express

Kwa akili yako ndogo unafikiri kiwanda kikizinduliwa ndo siku hiyo kinaanza kufanya kazi!
 
Kura yako Haina athari yoyote kwenye Nchi yetu upige usipige Rais wetu anaendelea Na Majukumu yake
Hayo mawazo yako ya kijinga unashindwa kujua kuwa raisi wenu alilazimika kupiga pushapu ili aipate hiyo kura?
 
Back
Top Bottom