Recent content by Eric Ongara

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

    Moja ya Vitu ambavyo mjadala huu umekosa ni mguso wa kitaaluma. Tunakubaliana na hoja kwamba posho ni eneo la kawaida kabisa katika mfumo wowote makini wa maslahi na malipo. Hoja haipo kwenye uwepo au kutokuwepo kwa posho bali mantiki na msingi wake. Kigezo cha kwanza cha kuweza kuendesha...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mjengwa katika kampeni za Kikwete 2010?

    Huu ni uchambuzi dhaifu ukiwa umejikita katika siasa za kukariri na mazoea. Kwa kutojua au kwa nia mbaya muandishi anajaribu kutumiaminisha katika ukubwa wa mtandao(mabolizi wa nyumba kumi) na uchaguzi wa serekali za mitaa kama nguzo yake ya uchambuzi. Tayari kwa mfumo wa sasa tumeona idadi...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mikoa mitatu mipya kuanzishwa

    Ndugu mkandara, nakumbuka tuliyazungumza haya kwa kirefu sana wakatu ule wa mjadala wa majimbo.Tulitabiri kwamba baada ya miaka kumi ijayo tutakuwa na mikoa karibia hamsini na wilaya zaidi ya miatatu kwa kigezo cha kusogeza maendeleo kwa wananchi. Itafikia wakati ambapo wataweka kwenye ilani yao...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

  5. E

    JamiiForums Tanzania Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

    Wengi wamepongeza baadhi kuhoji na kubeza uamuzi wa Zitto kugombea. Na badae wamebeza uamuzi wa Zitto kujitoa sambamba na kushangazwa na ushauri wa kamati ya wazee waliomshauri Zitto ajitoe katika kinyanganyiro cha uenyekiti wa taifa dhidi ya mwenyekiti wa sasa Freeman Aikael Mbowe( Mtuhuru)...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dowans: Another Richmond in making?

    Msimamo wake tete umekuwa gharama kubwa sana kwa chama na taifa! Inasikitisha na kutisha.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mwachieni Gire, nunueni mitambo ya Dowans!

    Sipo pamoja na Zito katika hili! Anakosea mno. Hatuwezi kuhalalisha uhuni kwa kisingizo cha dharura. Tunajenga msingi mbaya wa kutofuata taratibu kwa kisingizio cha maslahi ya taifa na unafuu! Huu unafuu unazungumziwa sasa ni baada ya kulinganisha na mitambo ipi, gharama zipi? Sula la...
  8. E

    JamiiForums Tanzania The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    Tumefika pabaya. Siku zote huwa naamini ushirikiano wa vyama si suluhisho. Kila mmoja ni msindani kwa kwa mwenzake, dhana ya kuwataka waungane ndio huleta matatizo kama haya. Nimeshuhudia mkutano mmoja wa operesheni sangara pale Manzese ambapo mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alikuwa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Kama mwenyekiti wa chama anapaswa kuchukua hatua badala ya kuzira.Kama atawaidhiria na jamaa wa EPA na Richmond kwamba wagawane wenyewe hali itakuwa mbaya sana.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka amtwanga konde M/kiti UVCCM!

    Hata Ole Sendeka? Sasa watabaki na nini? Hii dhana ya watu kumiliki majimbo ni moja ya kansa mbaya sana. Kama taifa tungali tunajifunza siasa za ushindani.Ni utaraibu ambao tunachukua mda mrefu sana kuuzoea. Kama huwa ana hasira hizo nashangaa mpaka leo hajatwanga mtu bungeni, akiweza...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Online Meeting with CHADEMA - Kuimarisha Upinzani na Kuleta Maendeleo - No 1

    Huu ni upotoshaji uliovuka mipaka! Hakukuwa na ushirikiano mwaka 2005 kisha CHADEMA ikajitoa! Kulikuwa na majadiliano ila waliokuwa wanajiona chama kikubwa walikuwa ni CUF amabao walikuwa wanataka waachiwe kila kitu! Lazima ikumbukwe kuwa mwaka 95 CHADEMA haikusimamisha mgombea wa Uraisi ili...
  12. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    Gembe unapaswa kuwa juu ya haya unayoyaandika hapa! Zilie ni Hitilafu za kawaida kwenye taasisi za kibinadamu. Mgogoro wa marehemu Wangwe ulikuzwa na watu wenye hofu na nia mbaya dhidi ya CHADEMA. marehemu Wangwe alikuwa peke yake akishambulia viongozi wenzanke, tungeweza kuita mgogoro...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mbeya vijijini: Kampeni, uchaguzi na yatokanayo

    Inasemekana ni mgombea udiwani!
  14. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    Ndugu yangu Recta: 1. Chama kinasubiri kushika uongozi kina jukumu la kuiwajibisha serekali hasa mda ule kinapokuwa hamna uchaguzi.Ndio maana Bungeni tuna mawaziri kivuli.Vyama lazima vitoe mbadala na kuwa "watchdogs" 2. Wakati ambapo hakuna uchaguzi nguvu ya chama inajionyesha katika namna...
  15. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao

    FMES, heshima kwako. Ni kweli taifa linadidimia,na tuko hapa kutokana kuwa na taasisi dhaifu za kisiasa, zilizokosa uwezo wa kutambua na kuyapa ufumbuzi haya maswala mchomo. Tunaweza kujadili maswala mazito kile siku lakini kama taasisi zetu za kisiasa hazina uwezo au nia ya kupokea...
Back
Top Bottom