Recent content by Erasto kalinga

  1. Erasto kalinga

    Nabadili gia angani: Msigwa wa Iringa Mjini (CHADEMA) hana mpinzani kutoka CCM na hashindiki kwenye boksi la kura 2020!

    Iringa toka kuumbwa kwake, haijawahi mpata mbunge makini kama MSIGWA, MSIGWA ndio kila kitu Iringa, MSIGWA ndio Rais wa Iringa
  2. Erasto kalinga

    Samia Suluhu: Mfanyabiashara aliyehamia Zambia abaki huko huko hakuna shida

    Nchi hii tumeanza kuwa wakimbizi, wacha twende wanavyotaka!
  3. Erasto kalinga

    Hivi Rais Magufuli ametingwa sana kuliko wenzake wote wa nchi za SADC?

    Bado hajakamilisha kuunda serikali, kila siku ni kuteua na kuapisha
  4. Erasto kalinga

    Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

    Tahadhari ni muhimu, hasa ukichukulia anafundisha watoto wetu!
  5. Erasto kalinga

    Kwanini sitaki kupata mtoto

    Mambo ya vyuma haya, yanasababisha kuwaza mengi sana. Na bado lazima tuombe po!
  6. Erasto kalinga

    Namshauri Kocha wa Taifa Stars atafute mlinda mlango mwingine badala ya Manula

    Mwisho wa Manula ushafika, kipa gani anafungwa kwa kizembe namna ile?
  7. Erasto kalinga

    Bongo movie ni kikundi cha CCM kwa sasa

    Bongo movie hawana akili kabisa, siasa ndio imeua soko lao, badala ya kupambana kuinua soko lao, wao wanaingiza siasa. Niliacha kununua Kazi zao siku nyingi. Hao waliowanunua ndio watanunu movie zao.
  8. Erasto kalinga

    Gigy money aitosa mahali ya milion 5 anataka 10-15

    Kwa mandala Yale! Hata kumi elfu sitoi!
  9. Erasto kalinga

    Usajili wa simba wa Billion 1.5 ni kwaajili ya kuzifunga timu ndogo tu au

    Tishio lao ni kwa timu za Zanzibar tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Erasto kalinga

    CHADEMA, kwanini Hemedi Ally na sio Tumaini Makene? kuna jambo hapa!

    CHADEMA NI TAASISI, TULIA HIVYOHIVYO Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Erasto kalinga

    Polepole unampoteza Zenda

    Kumekucha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Erasto kalinga

    Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

    Zari ndio zilipendwa, jamaa kazaa na bibi yetu aka zilipendwa! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom