Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Hii ndio Ccm, sifa zao kuu ni unafiki,rushwa na kujipendekeza.
Samahani huyo ni mdogo wa Fadhili Nkulu DC wa Kahama auanaitwa AMANI NKURLU
Wakuogope ww unataka?Ungetaja basi jina la huyo mtu kama wewe hauko nyuma yake kutaka awe mwenyekiti... kazi mnayo.. kumbe mna drama hata awamu hii na amuogopi kabisaaa.. DUH!!!
Wakuogope ww unataka?
Na wewe mhenga mambo na michezo ya watoto unaingilia! Waachie wenyewe watoane ngeu. Au umesahau figusu za uvccm zilvyoondoka na maisha ya mdogo wako (R. I. P my best friend)?Ungetaja basi jina la huyo mtu kama wewe hauko nyuma yake kutaka awe mwenyekiti... kazi mnayo.. kumbe mna drama hata awamu hii na amuogopi kabisaaa.. DUH!!!
Hata Mwenyekiti wa CCM Taifa hakutumia njia sahihi kuwakaanga hadharani akina Sadifa majuzi. Kwa mantiki hiyo huyu yuko sahihiNani amekutuma wewe kwanini usitumie vikao vya chama aidha uvccm au vyovyote vile lakini viwe ni vikao vya chama kuzungumza madukuduku yako kama kweli unazo hoja za msingi na hukutumwa na mtu yoyote yule? Hii sio njia sahihi.
Hasira za nn bi shosti hao uvccm kaa mbali utaumia na kuchafukaUngekuwa unajua kusoma na kuelewa husingeandika hayo.
Nani mwenye nasaba za uongozi ndani ya ccm? Hakuna. Hapa naona harufu ya kupigania maslahi. Kama siyo maslahi yako wewe mwenyewe mleta mada basi unatumika kama toilet paper.hana nasaba zozote za uongozi
Na wewe mhenga mambo na michezo ya watoto unaingilia! Waachie wenyewe watoane ngeu. Au umesahau figusu za uvccm zilvyoondoka na maisha ya mdogo wako (R. I. P my best friend)?
Hasira za nn bi shosti hao uvccm kaa mbali utaumia na kuchafuka
Hujitambui. Hapa JF ukiandika positive kuhusu CCM ni kama unamwaga kinyesi hadharani hapa zungumzia vyama vingine utaonekana GT. Aidha hizi ni siri za ndani zikae ndani tumia vikao kutatua hili suala au mtumie ujumbe Mwenyekiti JPM after all ashawanyaka wabaya! Hakuna haja ya kujichoreaha hapa JFKwa muda mrefu sasa zenda amekua akisadikiwa kuisema vibaya uvccm kwa polepole na baadhi ya maofisa wa ccm Lumumba. Sababu ya kufanya hivyo iko wazi; (1) shirikisho kuondolewa na kuwekwa chini ya uvccm kama idara (2) kutopewa cheo kikubwa (unaibu katibu Mkuu au ukatibu mkuu) (3) kupenda kufanya kazi bila kufuata taratibu na mipango.
Kwasababu ya hayo yote hivyo ameamua kumtumia polepole kama mtu wa kumuhakikishia kuwa anaivuruga uvccm na hatimaye kuukwaa ukuu wa jumuiya hii adhimu ya ccm, hivyo polepole amekua akifanya kila analoliweza kuhakikisha kuwa anaviza utendaji kazi wa uvccm, anaingilia majukumu ya jumuiya, na pindi anapojishughulisha na kazi za vijana kiungo anayemtumia ni zenda pekee kwani anataka kumfanya yeye ndio aonekane kama mtu pekee anayeweza kufanya shughuli za jumuiya na za vijana kwa ujumla.
Kwanini nasema Polepole anampoteza zenda?
(1) CCM na Jumuiya zake inayo utaratibu wa kufanya kazi. Polepole anamshughulisha Zenda kuuvunja utaratibu wa CCM na Jumuiya zake kwenye uhusiano wa kikatiba na Kikanuni wa kufanya kazi.
(2) Msimamizi Mkuu wa shughuli za UVCCM ni Katibu Mkuu, lakini Polepole akadandia majukumu ya mwenye nayo kwa kupitia Zenda na kuyahodhi mamlaka hayo kwa lengo lao la msingi la kuivuruga UVCCM.
(3) Polepole anyemgombea wake wa uwenyekiti UVCCM (ninamuhifadh jina kwa awamu hii) Hivyo kiungo mchezeshaji kwenye harakati hizo ni Zenda, na Zenda kaamua kuwa mwendawazimu zaidi ya uwendawazimu wake unaofahamika.
(4) Polepole amemuhakikishia Zenda na washirika wake kuwa yeye ndiye Katibu mkuu wa CCM ajaye kwasababu kinana ataondoshwa katika nafasi hiyo na kukikalia kiti, pia amemfahamisha zenda kuwa atampambania awe katibu mkuu uvccm ajaye ili wafanye kazi pamoja.
(5) Polepole anamremote control Zenda kuandaa mambo yasiyo ya ukweli mfano kupanga safu na kupokea rushwa na kutafuta namna ya kuzipenyesha kwa rais. Na hii imedhibitika juzi jumamosi siku ambayo rais alikwenda kigamboni.
Mwisho Ningependa kumshauri Polepole ajiheshimu na atulizane, maana tabia mbaya anoyoonyesha sio njema kwa afya ya CCM.
Pia Zenda ni mdhaifu sana kiuongozi na hana nasaba zozote za uongozi, anafanya kulazimisha mambo.
Usipopigwa na radi kutoka kwa MUNGU ukapotea, utapigwa kwa namna yeyote na wanadamu.
USIPOZIBA UFA, UTAJENGA UKUTA
Chama Cha Mauzauza
Hujitambui. Hapa JF ukiandika positive kuhusu CCM ni kama unamwaga kinyesi hadharani hapa zungumzia vyama vingine utaonekana GT. Aidha hizi ni siri za ndani zikae ndani tumia vikao kutatua hili suala au mtumie ujumbe Mwenyekiti JPM after all ashawanyaka wabaya! Hakuna haja ya kujichoreaha hapa JF