Well written, pamoja na mengine, nimependa jinsi ulivyoiwakilisha hiyo sehemu ya rasilimali za nchi zinavyofaidisha nchi za nje na kutuacha wenye nazo masikini. Shame on us!!
Sent from BlackBerry 9900.
Mmh! Kazi ipo...siasa hizi zitatufikisha pasipo. Sio bure, kuna mengi na makubwa ndani yake. Let's wait and see
Sent from my BlackBerry 9900 using Jamii Forums.
NECTA waache kutoa sababu zisizo na msingi, hao wanaotoka kijijini huko ktk shule za kata mtandao wanaujulia wapi? Asilimia kubwa ya wanafunzi wenye kujua mambo ya mtandao ni kutoka private schools ambao ndio wanaofaulu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.