Recent content by Epec

  1. Epec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada...

    Into the badlands!!! Vip hiz ni kali?
  2. Epec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada...

    Nimeangalia zote kasoro Marcopolo
  3. Epec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada...

    Kwa anayuzijua Series Kali!!! Msaada tafadhali
  4. Epec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HIVI TANZANIA KATIBA INARUHUSU NDOA ZA MKATABA?

    Duuh. ..ndo ya Mkataba imekaa kihuni sana kwa kuangalia tamaduni zetu. Sina hakika, lakini nadhani Sheria zetu haziruhusu coz sheria zetu kwa kiasi kikubwa zinaakisi tamaduni.
  5. Epec

    JamiiForums Tanzania Vita ya vituo vya redio: Choice fm, E fm , East Africa Radio.Je, soko limekua?

    Siku hizi tunaona mbwembwe za kila aina zinazofanywa na watu wanaomiliki redio. Wiki chache zilizopita, tulisikia kwamba watangazaji wawili kutoka Clouds Fm wamehamia EFM. Kuanzia wiki iliyopita tunaona East Africa Redio wakigawa mafuta kwa madereva bodaboda kupitia mtu wao anaitwa Kachero...
  6. Epec

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na wasichana wa kazi (House girls)

    DUUH
  7. Epec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga poleni jipangeni tena

    Ni kweli kwamba Mlicheza vizuri sana. Lakini mpira uko hivyo. Cha msingi kazeni kwa ajili ya mwakani
  8. Epec

    JamiiForums Tanzania Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

    Katika kipindi hiki kuna wengi wataumizwa kwa kashfa na propaganda zinazochochewa na visasi na chuki. Mungu amjalie Rais wetu na vyombo vyote vya dola Hekma katika kufanya maamuzi. Mimi naamini Bwana Lugumi atakuwa salama coz so far inaonekana shutma dhidi yake hazina Ushahidi.
  9. Epec

    JamiiForums Tanzania UKAWA kula sahani moja na Lugumi Bungeni

    PAC wamesema watazunguka nchi nzima kukagua ni vituo vingapi vina mashine. Hiyo inaonyesha kwamba bado issue ya Lugumi haina uhakika. Ni kama ndugu wa CUF walivyosema "kuna harufu" ya Ufisadi. Nadhani ni busara tusubiri wakati ufike Ukweli ujulikane.
  10. Epec

    JamiiForums Tanzania Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

    Wakuacha sijakuelewa Mkuu...
  11. Epec

    JamiiForums Tanzania Nape, kuna maana gani marudio ya Bunge kuwa usiku wote huu?

    Jk tumseme kwa yote lakini sio kubana watu kuongea..for sure . Bunge la 10 na Matusi yote dhidi yake but hakuzuia lisiruke
  12. Epec

    JamiiForums Tanzania Nape, kuna maana gani marudio ya Bunge kuwa usiku wote huu?

    Wanadhani Bunge ni Tamthiliya za Kifilipino..... #JPM rudisha Bunge live.
  13. Epec

    JamiiForums Tanzania Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

    Utotoni tulikuwa na kamchezo ka "kwenda kusema kwa baba" . Mara kadhaa mchezo huo ulitumika kwa lengo mbaya. Watoto wenye tabia ya uongo na kusema sema sana, waliweza kuwasingizia wenzao kwa "baba" ili wao waonekane Wema. Kamchezo haka siku hizi kanafanywa na wakubwa. Kwa kuwa Rais Magufuli...
  14. Epec

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kwa heka Goba, zimebaki heka 8 bei poa

    Hahaha...eti kipindi Cha Magu...ila kweli mzee. .kipindi hili 20M ni parefu sana.
  15. Epec

    JamiiForums Tanzania TUCTA yapinga mpango wa Rais Magufuli kukata malipo ya mishahara

    Acheni Muisome namba....mumeipenda wenyeeweee. .... Na huyo ndio Rais mliepigia kura. Tulieni afanye kazi
Back
Top Bottom