Epec Member Joined Oct 1, 2015 Posts 15 Reaction score 13 Apr 21, 2016 #1 Ni kweli kwamba Mlicheza vizuri sana. Lakini mpira uko hivyo. Cha msingi kazeni kwa ajili ya mwakani
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,352 Reaction score 22,963 Apr 21, 2016 #2 Yanga tunaweza kufanya vizuri sana Africa kama tutapata tiba ya alleges za ki- Arabs
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,732 Reaction score 4,393 Apr 21, 2016 #3 Poleni sana. Punguzeni mbwembwe kwa kuwa ilikuwa ni wazi kabisa msingeweza kimkalisha mmisri. Cc J. Muro
Poleni sana. Punguzeni mbwembwe kwa kuwa ilikuwa ni wazi kabisa msingeweza kimkalisha mmisri. Cc J. Muro