Epec
Member
- Oct 1, 2015
- 15
- 13
Siku hizi tunaona mbwembwe za kila aina zinazofanywa na watu wanaomiliki redio.
Wiki chache zilizopita, tulisikia kwamba watangazaji wawili kutoka Clouds Fm wamehamia EFM.
Kuanzia wiki iliyopita tunaona East Africa Redio wakigawa mafuta kwa madereva bodaboda kupitia mtu wao anaitwa Kachero. Ghafla, choice FM nao wameibuka kwenye vituo vya mafuta wakigawa mafuta bure.
Choice FM wanaonekan kugawa mafuta kuliko East Afrika kwani idadi ya bajaj na pikpiki zilizopata sadaka hiyo ni kubwa sana. Tunawaona choice FM barabarani wakiongozwa na Antonio Nugaz , Idris Sultan , Feza Kessy na wengine.
Wakati huo pia kwenye mitandao ya kijamii, EFM wamekuja na hashtag "#HuuMchezoHauhitajiHasira" wakati Choice fm ( 102.5 FM Dar es salaam) wanasema #Nnahasira.
Nini kinaendelea? Mbona sarakasi zimekua nyingi?
Au soko la redio limekua kubwa kwa hiyo wanapigana vikumbo kuvuta mpunga zaidi?