Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,569
- 16,018
Wewe ulimuamini lema na CHADEMA kipindi kile inakuwaje unaacha kuwaamini kwa sasa? Mamvi ni jizi lilokubuhu, linapaswa lifungwe, na nisuala la muda tu utaona huyo lazima aende korokoroni! Akina lema na CHADEMA ndiyo wenye ushahidiUache kumuamini Mwakyembe unayeishi nae nyumba moja mpaka leo, uje umuamini Lema asiyehusika na laana za nyumba yenu?! unachekesha kweli wewe, kwa uongo ule wa Mwakyembe mngekuwa na akili mngemkomalia aweke ushadi hadharani maana ule walioutoa kina Lema Lowasa alisema hausiki alieuandaa wakutane mahakamani, upo? Haya tangulieni mahakamani basi?!