Recent content by Epafras

  1. Epafras

    Nahitaji maboksi ya aina yake, kiwanda cha maboksi kipo wapi hapa Tanzania?

    Hicho box pack ltd kipo arusha maeneo gani kaka
  2. Epafras

    Wale wote tuliopo viunga vya jiji la Dodoma tu

    Kwa maoni yako ahsante ila watu ambao wanahitaji ntawapata tu na kuelezana sio kila kitu tuongee humu wakat hata dom haupo
  3. Epafras

    Tuliopo Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na Computer naomba tukutane

    Bro hauko serious kabsa yaan nmetoa na namba ya simu hapo kabisa ili tutafutane na tuonane na kuongea ni Ishu gani
  4. Epafras

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Kuna dawa inaitwa Femicare ninayo mimi nauza na imesaidia had mke wangu kupona kabisa hata kwa wakaka inatibu vizuri tu...phone no.0716753534 nipo Dodoma
  5. Epafras

    Wale wote tuliopo viunga vya jiji la Dodoma tu

    Habari ndugu,naomba kwa wale wote tuliopo Jiji la Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na computer na hata kama mtu ana elimu kuhusiana na computer,naomba tutafutane kuna ishu ninayo hapa. Nitafute kwa text tu 0716 753534.
  6. Epafras

    Tuliopo Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na Computer naomba tukutane

    Habari ndugu,naomba kwa wale wote Tuliopo Jiji la Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na Computer na hata kama mtu ana elimu kuhusiana na Computer,naomba tutafutane kuna ishu ninayo hapa...nitafute kwa text tu 0716753534
  7. Epafras

    Tofauti hii ya Kimaumbile kati ya Wanawake hizi nchi na wa Kitanzania inatokana na nini?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. Epafras

    Je, ni sahihi kufanya mapenzi daily kwa wanandoa?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. Epafras

    Kuna anaemzidi Dj Murphy kwa kutafsiri season?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hafai hyo jmaaaa n sheeeedaaaa
  10. Epafras

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    __________________________ ---------------------
  11. Epafras

    Leo matapeli wa simu wamechachamaa

    MJUKUU WANGU NDENGESELA MUDA WA KUBADILISHA NDAGU UMEFIKA UJE NA MAGARI MAPYA NA ILE CHUPA YA JINI NI MIMI MUZEE MWASHIWAWA WA SUMBAWANG......... hawa jama wanasumbua sana yaani hadi mke wangu kabaki kutetemeka akajua anachukuliwa msukule au anatolewa kafara ha ha...
  12. Epafras

    Naombeni msaada kuhusu hili

    Hivi TRA kufunga duka wakati mimi sipo dukani ni kosa kufanya ivo au si kosa??
  13. Epafras

    Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Post ya kipumbavu kweli sasa ulitaka hao wasio na mbele wala nyuma waolewe na nani sasa......[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  14. Epafras

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Ngoja nami nikuulize halafu nijibu maswali yangu:- A:Kwa nini alienda usiku kwa kanumba na wakati yeye anajijua ni mtoto mdogo na mama yake kwa nini alimruhusu,kwani kesho haikuwezekana kwenda??hauoni hapo kuna jambo nyuma ya pazia?? B:Kwa nini hakupiga kelele na kuomba msaada kwa watu wa nje...
  15. Epafras

    Mahakama kuu imesema msanii Elizabeth Michael (Lulu) ana kesi ya kujibu

    Nipe ushahidi wako kuwa hawezi fungwa.........
Back
Top Bottom