Recent content by Enzo The son

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ni wapi Dar napoweza kupata vifaa vya gym?

    Pia vinapatikana pale kkoo fire..locally made
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ni wapi Dar napoweza kupata vifaa vya gym?

    Yap zipo..bei inategemea na weight
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    It won't be easy,it won't be rosy ...bt u ll make it brother,brace urself n move on
  4. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Mafisadi sugu ndani ya CCM wamenikimbia

    The arguments people make are those that appear the strongest to themselves and the people who already agree with them. But such arguments tend to be meaningless to people who disagree.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

    Mbowe atakuwa ni mcheza kamari hatari sana
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani unaoendana na tukio linalokugusa unaukumbuka wakati wote?

    Rail on -papa wemba
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

    Am single
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa watanzania hasa vijana

    Ahsante kwa ushauri wako lkn maisha mazuri sio tu kwa kujiajiri wapo walioajiriwa na wana maisha mazuri hata ww umeadmit kuajiri watu so watu wote wangejiajiri ungepata wapi man power?..tatizo la vijana Tanzania ni investment... We should know how to invest on different things...ukiangalia...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ray Kigosi: Thus Why I'm So Wonders

    Wenyewe wana cliché yao inayosema wao ni kioo cha jamii so kila wanachofanya lazima kimulikwe ...hakuna haja ya kuongea lugha usio ijua kufikishe ujumbe,matokeo yake anajipotezea soko na popularity
  10. E

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ha ha ha ha ha...Tatizo lako linaweza kuwa na chanzo kingine kwa hiyo usi attribute moja kwa moja chanzo ni punyeto...hapo inabidi uangalie ulaji wako na UMESEMA MWENYEWE BILA VIROBA NA KONYAGI hufanyi mambo ni wazi ww ni alcoholic vitu ambavyo huwa vinapunguza libido ...in nutshell angalia...
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Donald & Diamond Platnumz - Wangu - Official Music Video

    I like this bloke
  12. E

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    Ahsante kwa infos....ila kova huwa simuamini sana mbwembwe nyingi kama wamewakamata kweli kudos
  13. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ARVs

    Yap ...hiyo unaongelea PEP(post exposure prophylaxis).. Ni short course ya ARVs kwa muda wa mwezi mmoja inafanya kazi ndani ya masaa 72(siku tatu) baada ya potential exposure baada ya hapo uwezo wa kuzuia maambukizi ni mdogo sana
  14. E

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Magufuli achana na Lowassa kabisa

    Why should we trust u?
Back
Top Bottom