Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

Ukiona mtu kaandika single wakati yupo kwenye r/ship basi ujue hajiamin na hiyo r/ship yake
 
Ogopa wanaojiita single,watu miaka na miaka fb au whatsapp au wapi hawana picha za wapenzi au hata za familia ili wasitoswe,ukimwuliza mtu yupo fasta kujibu yupo single ila unaona kama umri umeenda kiasi flani ukiview huoni picha ya mke au mme wake,basi hata ya mtoto.

Ogopa sana wanaojiita single ni wahuni mno unaweza kuuawa kwa rungu kwenye mapaja ya mtu.

Usingegeneralize mkuu kama wewe ulikutana na singo maneno ni huyo haimaanishi kila anayesema yuko single ni muhuni au vitu vya namna hiyo wako watu single na ni single kweli.
 
Mkuu jidanganye tuu kujiandika upo in relation utakosa vinono...
yaani kama atoto na cute be halafu mi nashika mapembe,mi najikuta nafurahia kushika mapembe,yaani kama yale mambuzi dume inapanda jike hazitaki kuingiza zinadandia ila zinamwaga nje
 
Last edited by a moderator:
yaani kama atoto na cute be halafu mi nashika mapembe,mi najikuta nafurahia kushika mapembe,yaani kama yale mambuzi dume inapanda jike hazitaki kuingiza zinadandia ila zinamwaga nje
Viol . unaanza kuharibu mkuu
Unawaitaje hao huku...
Ushaharibu
 
Last edited by a moderator:
Viol . unaanza kuharibu mkuu
Unawaitaje hao huku...
Ushaharibu
kuwa na msimamo mkuu mwanaume msimamo haukosekani,mfano mi nawaambia hii ni avatar ya mburundi mwanamuzi,wanaamini kumbe ya wife
 
yaani kama atoto na cute be halafu mi nashika mapembe,mi najikuta nafurahia kushika mapembe,yaani kama yale mambuzi dume inapanda jike hazitaki kuingiza zinadandia ila zinamwaga nje

Mmmh kwani my ex bado tu upo single? Mie nipo double cute b sijui hata inaitwaje ile list yake, pole sana
 
Last edited by a moderator:
Mmmh kwani my ex bado tu upo single? Mie nipo double cute b sijui hata inaitwaje ile list yake, pole sana
hatupikiki ex chungu kimoja,nachanganywa kama mafuta na maji,nakukumbuka sana
 
Tatizo tunachukulia kama mtu akisema "single" basi yupo mawindoni. Kumbe Inawezekana mtu yupo single kweli na hatafuti mtu. Na ukiulizwa na man afu ukamjibu upo single basi mwingine anahisi kama unataka akutongoze kumbe walaa
 
Back
Top Bottom