Recent content by Entuntumuki

  1. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya PAI Duniani 3.14.2013

    Inaelekea Maths ilikuwa ikikugonga sana!
  2. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Kilichowasomesha wahaya

    Wakola waitu Ta Muganyizi!
  3. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

    This is too much! Acha sheria ichukue mkondo wake!
  4. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Uhusiano Kati ya Logo ya Big Brother Africa & Symbols Za ILLUMINATI?

    BBA is evil, freemasonic, is ILLUMINATI stuff. The one eye symbol tells more of what is BBA.
  5. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Mhariri Balile : CCM na CHADEMA wanaipeleka nchi kubaya - yupo Star TV

    Balile ameongea vema! Pamoja na mambo mengi aliyoongea anasema kuwa anawashangaa Wabunge na viongozi wetu wanapotoa kauli kuwa hawafanyii kazi magazeti.
  6. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Wale Wa Zamani Kidogo, Je Mnakumbuka Haya Mavitus?

    Mmmh, bado zinafanya kazi, sasa hizo santuri unapata wapi? Maana siku hizi hakuna.
  7. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Ajali imetokea muda huu Ubena, ni MJ ya Dar- Kondoa

    Kijana siyo lazima uwe wa kwanza kuripoti taarifa hii ya ajali! Taarifa hii haijitoshelezi hata kidogo.
  8. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Nilijifanya mjanja sasa najuta sijui itakuaje bomu likilipuka.

    Utoto unakusumbua tu, ukikua utaacha.
  9. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Kujishaua mbele za wanaume misibani..

    Inaelekea Shemeji yake mleta uzi huu ana wake wawili; dada yake huyu mleta uzi na huyu mwingine anayejishebedua wote wawili wameolewa na shemeji.
  10. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Madaktari, Hivi hamjui kuandika vizuri au mnafanya makusudi?

    Kweli prianka !
  11. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Madaktari, Hivi hamjui kuandika vizuri au mnafanya makusudi?

    Ktk mazingira ya kawaida, madaktari hawa wana miandiko mizuri tu. Akiwa kwa job, loooh, balaa tupu. BTW, nadhani ni ubize wa kazi na idadi kubwa ya wagonjwa wanaokuwa attended.
  12. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Telegraph From Iddi Amin Dada kwa Nyerere Kisa cha Vita ya Kagera?

    Ingekuwa hivyo, matusi ya nguoni yasiokuwa na maana yoyote binadamu anayotukanwa kila kuchao angeamua kutoyadharau na kuyafanyia kazi, mapigano yangetamalaki hapa duniani!
  13. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure

    gracious mkuu!
  14. Entuntumuki

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    :israel:
Back
Top Bottom