Recent content by Entrepreneur95

  1. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kurudi bongo

    hebu tuma dola 1000 kupitia moneygram nikakununulie nyumba yakufikia, ili ukija usipate tabu ya makazi.
  2. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

    SAFI SANA BASATA. LAZIMA KUWEPO NA NIDHAMU. HII SIO ROGUE NATION.
  3. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania kupata kadi ya NSSF/PSPF hadi uwe umeajiriwa?

    asante mkuu
  4. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania kupata kadi ya NSSF/PSPF hadi uwe umeajiriwa?

    ofisi zao zipo wapi?
  5. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania kupata kadi ya NSSF/PSPF hadi uwe umeajiriwa?

    wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, naombeni msaada wenu wajuzi. maana kuna job nime apply wameniambia wanataka hiyo card.
  6. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Admin naomba msifute huu uzi, kwani uzi wangu wa mwanzo mliufuta, baada ya kuona hali ya maisha kuwa ngumu na hakuna ajira, nimeona nianze kujiajiri kwenye FOREX, ila sifahamu chochote kuhusu hii Forex, ndio maana nikasema nataka niende nikasomee kwa ONTARIO, hivyo basi kwa wale wazoefu wa FOREX...
  7. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Unamiliki nini katika Umri huu?

    miaka 23, namiliki laptop, sabufa ndogo, iphone 4s, ki friji kidogo, kitanda 5*6, jiko la gesi dogo, viti 3, meza 2, feni 1, nguo za kuvaa, na viatu.
  8. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Madereva 3 wa bodaboda wanahitajika

    ukikipoteza je cheti changu itakuaje?
  9. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya msemo 'Mwenda tezi na omo marejeo ngamani'

    nasubiria jibu wakuu ..........
  10. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya msemo 'Mwenda tezi na omo marejeo ngamani'

    Wakuu naombeni msaada, huu msemo ni maarufu sana lakini huwa siuelewi, na kuuliza si ujinga
  11. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Naombeni jina la hii taarab/wimbo

    sawa, nitashukuru
  12. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Naombeni jina la hii taarab/wimbo

    sawa mkuu
  13. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Naombeni jina la hii taarab/wimbo

    sawa, nitashukuru
  14. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika haraka sana kabla ya December, alie tayari aje Dm

    katika mitandao yote ya kijamii, JF ndio ingetakiwa kuwa mahala pa mwisho kabisa kutafuta mke.
  15. Entrepreneur95

    JamiiForums Tanzania Naombeni jina la hii taarab/wimbo

    sawa, nitashukuru
Back
Top Bottom