Entrepreneur95
Member
- Sep 6, 2018
- 43
- 49
wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, naombeni msaada wenu wajuzi. maana kuna job nime apply wameniambia wanataka hiyo card.
ofisi zao zipo wapi?Nssf navojua Mimi unaenda kujiandikisha fao binafsi kiwango cha chini elf 20 kwa mwezi unapata kadi yao
asante mkuuUpo mkoa gani kama ni dar ilala sokoni ndo makao makuu