Makati huo huo umefunga 16 kwa setpc na kufungwa 12... nawaona watu wa asernal mnalalamika kuonewa wakati huo mnacheza huuni kufunga hayo magoli.. kama yangechunguzwa walao robot yangekuwa disqualified.
App ya family tree ..najua zipo nyingi free na zakulipia Ila tengeneza itakayoweza kuendana na mazingira ya kibongo.
Unaweza kuwa na features muhimu kama
1. Picha za mwanafamilia
2.mawasiliano yake
3.live location
4.mtu familia moja ikifiwa iweze kualert member wote kwenye familia tree
5...
Shambulizi lilikuwa kwa walengwa pekee (hez..) kwakua vilipuzi viliwekwa kwenye order iliyokuwa imeagizwa na hao hezbra. Mfano kuna mtoto wa miaka 9 kalipukiwa na hiyo pager kwa kuwa ilipoita tu akampelekea babaake ambaye ni hezbra ili haipokee but kabla muhusika hajaipokea ikalipuka na kumuua...
Ode kwa game style na role yake pale katikati sioni wakuziba pengo lake, nawaombea apone haraka kabla hamjatoka relini.
Last season mlikuwa na bahati ya majeruhi kabisa bt this time bundi kaanza kuwanyemelea mapema kweli.
Total capacity ya megawatt Tanzania ni 1600MW na bwawa la Nyerere likikamilika jumla tutakuwa na MW 3600.
Hizo 10,000 umezitoa wapi?
Kwa kifupi currently tunazo GW 1.6 kulinganisha na Korea mwenye 143GW.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.