Recent content by Eng Chingy

  1. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je nani ambaye ana kosa kati ya hawa wazazi wenza?

    Sawa mkuu, umetoa ukwel mchungu Sana ambao wenye mawazo ya kawaida tutahisi kama unakosea lakin ndo ukwel wenyewe. Thanks in advance.
  2. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je nani ambaye ana kosa kati ya hawa wazazi wenza?

    Umri wako tafadhari
  3. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nipo kwenye giza

    Yan kuna mambo hadi kinyaa kuyaskia,, umepata bahati dem anaonyesha hakupend bado unajilizaliza aysee hizi nyama ziko nying mno, just the matter of how sharp ur beto iz, Akili zimerud kigodo
  4. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nipo kwenye giza

    Sasa mkuu upo gizan unaomba ushauri mi naona kam ungeomba taa hvi 🚶🚶🚶akili zangu nazijua mwenyewe
  5. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kutafuna "inayonyesha" kuokoa gharama ulizotumia kumhudumia?

    Kig Kigogo on the wheel
  6. Eng Chingy

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ulinzi ya Marekani 'The Pentagon' yaidhinisha ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico

    Naona utekelezaji wa seris ya Colon,,,
  7. Eng Chingy

    JamiiForums Tanzania Up to 100 Germans a year are killed while engaging in risky masturbation

    U Sijawah kuwaza hili kam lipo 4 sure
  8. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simleti Tena geto.

    Namuomba hyo aisee, nikiwa gheto Mimi mwenyewe najikosoa Sana
  9. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu tabia za watu kupitia rangi wazipendazo (Favorite colors)

    Ideology za kipuuzi,rangi nyekundu hutumika kuonyesha tahathar kwasababu ni rangi yenye high frequency (inaweza kuonekana hata ikiwa mbali) kuhusu usafi na rangi nyeupe ni nature ya rangi nyeupe kuwa haifichi uchafu Only if u know what I mean
  10. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani amewahi kukutana na mwanamke aina hii.

    Katoto kachafu kama Bata
  11. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akisha niambiaga hivi, Ndo basi tena

    JF siondoki aysee kumb hii manzi hapa nimeshaibaba Ila nailembea mwenye Akili za kuambiwa changanya na zako🏃🏃🏃
  12. Eng Chingy

    JamiiForums Tanzania Mbagala inahitajika underground train sio Mkulupuko za mwendokasi

    Ok then,baba asiendelee kuleta chakula ambacho akipikwi,ahakikishe mpishi yupo na chakula kinapikwa ndipo alete kingine so tunarudi kwenye point before mradu haujawa expanded to the next phase mamlaka zinahusika zihakikishe stability ya current phase. Lengo sio kupinga Ni kuhakikisha tunapata...
  13. Eng Chingy

    JamiiForums Tanzania Mbagala inahitajika underground train sio Mkulupuko za mwendokasi

    Mimi nahisi tusimkamate sana mtoa mada kwenye hoja ya underground train, kama tatizo la busses Ni dogo kwa route zilizopo tuu,tunaona jinsi UDART walivyo zidiwa hivi ukiongezwa mzigo wa route ya mbagala kutakuwa na kupona kweli? Nazan Serikali ingehakikisha stability ya hizi route zilizopo...
  14. Eng Chingy

    JamiiForums Tanzania Kuna watumishi wa umma wamechoka afadhali ya muuza chipsi.

    N Na akichelewa kwa adha ya mwendokasi boss anafoka kama wanakaa mtaa mmoja na kutumia usafiri mmoja,Maisha haya....
  15. Eng Chingy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

    With wa kituo cha kati unamuhusu mda sio mrefu
Back
Top Bottom