tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kazi kubwa ya serikal ni kujenga miundombinu,hao wanaosimamia buses wajitafakar tena,haiwezekan baba alete mchele mpishi apike ubwabwa alafu mumshauri asilete tena mchele,wapishi wabadilishwe hadi apatikane anaejua kama ya kupika vizur kwani mchele unatafutwa kwa gharama kubwaMimi nahisi tusimkamate sana mtoa mada kwenye hoja ya underground train, kama tatizo la busses Ni dogo kwa route zilizopo tuu,tunaona jinsi UDART walivyo zidiwa hivi ukiongezwa mzigo wa route ya mbagala kutakuwa na kupona kweli? Nazan Serikali ingehakikisha stability ya hizi route zilizopo before haija jump to another.
Sent using Jamii Forums mobile app