Naombeni ushauri nipo kwenye giza

Naombeni ushauri nipo kwenye giza

mkuu James Mwidoro stop being a boy and be a real man,unawezaje kuwa weak kiasi hicho?huyo mwanamke is she the air you breath?kwani what else do you want kama mpaka unachomwambia kashamtumia mpenzi wake anayempenda na mpaka mkwara unapigwa,unataka umpe ushahidi gani wakti tayari opponent wako anajua unamsumbua mpenzi wake,For God sake mkuu stand on your two feet mapenzi hisia ambazo huja tu automatically huwezi zilamisha you are not loved you are just being used.
Yan kuna mambo hadi kinyaa kuyaskia,, umepata bahati dem anaonyesha hakupend bado unajilizaliza aysee hizi nyama ziko nying mno, just the matter of how sharp ur beto iz,


Akili zimerud kigodo
 
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana, nikaamua kupeleleza kimyakimya ila sikufanikiwa, kunà siku moja nilitumiwa msg na mtu kuwa niachane na huyo dada ila nikaipuuzia, sasa last week nikaenda kwake nikiwa hapo akampigia mtu simu katika maongezi ni kama walikuwa wanapanga mwezi wa kubeba ujauzito, aliongea muda mrefu na baada ya mazungumzo nikamuuliza alikuwa anaongea navnani, akanijibu ni rafiki tu niyapuuzie coz uwa wanataniana, ofcoz nilimbana sana kwa maswali lakini nikawa nimehisi jambo, jana nikamchukua rafiki yangu tukaenda ili aniweke wazi kwasababu tokabmwaka uanze simuelewi, kiukweli alikiri aliyoyaongea na huyo kaka na akasema yupo nae kwenye mahusiano kitambo sana ata kazi alimuunganishia yeye hivyo pia ngumu kutengana nae, wakuu niliona kama utani vile nikaanza kumbembeleza asifikie hatua hiyo ila akakomaa na msimamo wake, sie tukaondoka nakumbuka usiku nimemtumia msg nyingi sana za kuonyesha jinsi gani ana thamani kwangu, cha kusikitisha kascreen msg then akamtumia Mike ambaye ni mtu wake kama alivyodai, Mike kachukua namba akanipigia simu leo mchana kuwa niachane na huyo binti kwani ni mchumba wake na ni jukumu lake, kusema ukweli nilimjibu mshkaji sorry bro sikujua japo moyoni kimeniuma kupita kiasi, sina amani ata kidogo, naombeni ushauri tu nichukue harua gani, maana ksemà kweli bado sijaridhika, au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?
Pole sana bro, kimsingi haya ni mapitotu

Lamaana kama ame maanisha muache aendetu, japo najua sio rahisi moyoni ila kubaliana na hali halisi yasije kukutokea puani (madhara)...
Jipe moyo ipo siku atakuja utambua umuhim/thamani yako ukiwa tayari ushaachana naye,
Kitendo cha kutuma sms ulizo mtumia kwa mwanaume mwenzako hiyo inadhihilisha kua ukiendelea kukomaa akupende ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, au kuandika maandishi kwenye maji hivyo basi hadi hapo yeye hana mapenzi na wewe tena.
Muache aende kaka, mungu atakupa mtu mwingine mwema na aliye sahihi zaid yake. Sis ndio binadam wenyewe bro, tume jaa unafiki katika swala zima la mahusiano, .

We determine the value of water in the pond once it get dry.
 
Back
Top Bottom