Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,121
- 5,066
- Thread starter
- #61
Nasema inawezekana kama sio leo kesho TUJIANDAEdah mtoa UZI umetazama kwa MAPANA sanaaa underground miundombinu yake nafikiri kwa tazama hapa hasa DSM ni shidaaa kwanza mji wenyewe huu master plan yake haikuwepo hasa eneo la mbagala kwenda mkranga watu wamejijengea tu fasta fasta baadhi ya maeneo kuna k=miundo mbinu mengine kama ya maji ime cross ...WAZO ni zuri ila nafikiri huenda itakuwa ni gharama kubwaaaa mboooooooo ila Ungesema kwa treni tu ya juuu kama ile ya Ethiopia ah HAPO MZEE NI MUKIDEEEE