Naombeni ushauri nipo kwenye giza

Naombeni ushauri nipo kwenye giza

Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana, nikaamua kupeleleza kimyakimya ila sikufanikiwa, kunà siku moja nilitumiwa msg na mtu kuwa niachane na huyo dada ila nikaipuuzia, sasa last week nikaenda kwake nikiwa hapo akampigia mtu simu katika maongezi ni kama walikuwa wanapanga mwezi wa kubeba ujauzito, aliongea muda mrefu na baada ya mazungumzo nikamuuliza alikuwa anaongea navnani, akanijibu ni rafiki tu niyapuuzie coz uwa wanataniana, ofcoz nilimbana sana kwa maswali lakini nikawa nimehisi jambo, jana nikamchukua rafiki yangu tukaenda ili aniweke wazi kwasababu tokabmwaka uanze simuelewi, kiukweli alikiri aliyoyaongea na huyo kaka na akasema yupo nae kwenye mahusiano kitambo sana ata kazi alimuunganishia yeye hivyo pia ngumu kutengana nae, wakuu niliona kama utani vile nikaanza kumbembeleza asifikie hatua hiyo ila akakomaa na msimamo wake, sie tukaondoka nakumbuka usiku nimemtumia msg nyingi sana za kuonyesha jinsi gani ana thamani kwangu, cha kusikitisha kascreen msg then akamtumia Mike ambaye ni mtu wake kama alivyodai, Mike kachukua namba akanipigia simu leo mchana kuwa niachane na huyo binti kwani ni mchumba wake na ni jukumu lake, kusema ukweli nilimjibu mshkaji sorry bro sikujua japo moyoni kimeniuma kupita kiasi, sina amani ata kidogo, naombeni ushauri tu nichukue harua gani, maana ksemà kweli bado sijaridhika, au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?
Mkuu mbona wanawake wengi sana huyo hakutaki tafuta njia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una umri gani...??
Maana hili nalo sioni kama ni jambo la kuomba ushauri hapa aiseeeeee......
Yaani hapo nikama tayari umeonyeshwa rangi ni njano, alafu chaajabu wewe unalazimisha hiyo rangi ionekane nyekundu.... na kama haitoshi unakuja kutuomba ushauri kwamba ulionyeshwa rangi ya njano lakini wewe unataka ionekane nyekundu....tehteehh
 
Walk away brother. Never force love hata siku moja. Uki beg unajishusha dhamani. Let her go
Pambana na maisha mkuu.. pambana mpaka siku akikuona unapita na prado road.. apate unyevunyev automatic.
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana, nikaamua kupeleleza kimyakimya ila sikufanikiwa, kunà siku moja nilitumiwa msg na mtu kuwa niachane na huyo dada ila nikaipuuzia, sasa last week nikaenda kwake nikiwa hapo akampigia mtu simu katika maongezi ni kama walikuwa wanapanga mwezi wa kubeba ujauzito, aliongea muda mrefu na baada ya mazungumzo nikamuuliza alikuwa anaongea navnani, akanijibu ni rafiki tu niyapuuzie coz uwa wanataniana, ofcoz nilimbana sana kwa maswali lakini nikawa nimehisi jambo, jana nikamchukua rafiki yangu tukaenda ili aniweke wazi kwasababu tokabmwaka uanze simuelewi, kiukweli alikiri aliyoyaongea na huyo kaka na akasema yupo nae kwenye mahusiano kitambo sana ata kazi alimuunganishia yeye hivyo pia ngumu kutengana nae, wakuu niliona kama utani vile nikaanza kumbembeleza asifikie hatua hiyo ila akakomaa na msimamo wake, sie tukaondoka nakumbuka usiku nimemtumia msg nyingi sana za kuonyesha jinsi gani ana thamani kwangu, cha kusikitisha kascreen msg then akamtumia Mike ambaye ni mtu wake kama alivyodai, Mike kachukua namba akanipigia simu leo mchana kuwa niachane na huyo binti kwani ni mchumba wake na ni jukumu lake, kusema ukweli nilimjibu mshkaji sorry bro sikujua japo moyoni kimeniuma kupita kiasi, sina amani ata kidogo, naombeni ushauri tu nichukue harua gani, maana ksemà kweli bado sijaridhika, au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana, nikaamua kupeleleza kimyakimya ila sikufanikiwa, kunà siku moja nilitumiwa msg na mtu kuwa niachane na huyo dada ila nikaipuuzia, sasa last week nikaenda kwake nikiwa hapo akampigia mtu simu katika maongezi ni kama walikuwa wanapanga mwezi wa kubeba ujauzito, aliongea muda mrefu na baada ya mazungumzo nikamuuliza alikuwa anaongea navnani, akanijibu ni rafiki tu niyapuuzie coz uwa wanataniana, ofcoz nilimbana sana kwa maswali lakini nikawa nimehisi jambo, jana nikamchukua rafiki yangu tukaenda ili aniweke wazi kwasababu tokabmwaka uanze simuelewi, kiukweli alikiri aliyoyaongea na huyo kaka na akasema yupo nae kwenye mahusiano kitambo sana ata kazi alimuunganishia yeye hivyo pia ngumu kutengana nae, wakuu niliona kama utani vile nikaanza kumbembeleza asifikie hatua hiyo ila akakomaa na msimamo wake, sie tukaondoka nakumbuka usiku nimemtumia msg nyingi sana za kuonyesha jinsi gani ana thamani kwangu, cha kusikitisha kascreen msg then akamtumia Mike ambaye ni mtu wake kama alivyodai, Mike kachukua namba akanipigia simu leo mchana kuwa niachane na huyo binti kwani ni mchumba wake na ni jukumu lake, kusema ukweli nilimjibu mshkaji sorry bro sikujua japo moyoni kimeniuma kupita kiasi, sina amani ata kidogo, naombeni ushauri tu nichukue harua gani, maana ksemà kweli bado sijaridhika, au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?
A CHEETAH CAN NEVER RACE WITH DOGS TO PROVE THAT HE IS THE FASTEST ANIMAL IN THE WORLD, GENTLEMEN NEVER NEED TIME TO PROVE HOW WORTH THEY ARE, BUT TIME PROVES FOR THEM. MWANAMKE WAKO AMEKOMAA NA MSIMAMO WAKE, MIKE AMESHAKUPIGIA SIMU UACHANE NAE, SHE IS NO LONGER IN LOVE WITH YOU NO MOREE ( UKWELI MCHUNGU ILA UPOKEE HIVYO HIVYO), ANAONGELEA MAMBO YAKUBEBA MIMBA MBELE YAKO, STILL UNATAKA UMTHIBITISHIE MIKE KUWA ULIKUWA NAE KWENYE MAHUSIANO WAKATI SCREENSHOT ZA MESEJI YAKO ANAZO??? AU UNADHANI HAJUI KAMA ULIKUWA NAYE?? HUJIULIZI TU KWNINI YEYE HAIMUUMI KAMA WEWE, COZ SHE KNOWS THAT THE GIRL LOVES HER MORE THAN YOU, HE CAN DO ANYTHING HE WANTS TO HER EVEN IF SHE IS WITH YOU, POLE KWA MAUMIVU ILA NDIO KUKOMAA HUKO, HUWEZI KUWA STRONG BILA KUPITIA CHANGAMOTO YOYOTE, HII ITAKUJENGA NA KUKUFANYA IMARA ZAIDI, NGUMU NI PALE UNAPOWAZA KUACHANA ILI HALI MOYO BADO HAUJARIDHIA, AT THE END OF THE DAY LOVE MAP YAKO HAIKAI MOYONI BALI KICHWANI BASI YAKUPASA KUTUMIA AKILI KUAMUA KIPI KITAKUWA SAHIHI KWAKO, USIJARIBU KUTUMIA MUDA WAKO KUTAKA KUTHIBITISHA MAANA NO TIME TO PROVE CAN CHANGE THE FACT THAT THE GIRL CAN REVERSE IN THE STAGE OF DECIDING TO CARRY THAT SIDEMAN PREGANCY FOR HIM, UNLESS YOU WANNA BE STEPDAD FOR MIKE SON OR DAUGHTER.
 
Kubali matokeo kaka na mwanamke kukuacha kwenda kwa mwanaume mwingine haimanishi amekupunguza uanaume wako ni vile tu hajajua thamani yako songa mbele yupo aliekusudiwa kuwa na wewe
 
Mkuu mno a rahis Sana kama umeshindwa Kumuacha nakushauri nunua sumu kunywa ufe au jinyonge

Akili ya mpumbavu ni upumbavu wake mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?
mkuu ukifanya hivyo itakua sio poa, kama ameona mike anamfaa mwache aende... Piga moyo konde brother mambo ni mengi sasa hivi asikupotezee muda wa kufikiri masuala ya msingi kwenye maisha yako. Kuna kamsemo kua KARMA IS ................. wait ipo siku nature will surprise you.
 
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana, nikaamua kupeleleza kimyakimya ila sikufanikiwa, kunà siku moja nilitumiwa msg na mtu kuwa niachane na huyo dada ila nikaipuuzia, sasa last week nikaenda kwake nikiwa hapo akampigia mtu simu katika maongezi ni kama walikuwa wanapanga mwezi wa kubeba ujauzito, aliongea muda mrefu na baada ya mazungumzo nikamuuliza alikuwa anaongea navnani, akanijibu ni rafiki tu niyapuuzie coz uwa wanataniana, ofcoz nilimbana sana kwa maswali lakini nikawa nimehisi jambo, jana nikamchukua rafiki yangu tukaenda ili aniweke wazi kwasababu tokabmwaka uanze simuelewi, kiukweli alikiri aliyoyaongea na huyo kaka na akasema yupo nae kwenye mahusiano kitambo sana ata kazi alimuunganishia yeye hivyo pia ngumu kutengana nae, wakuu niliona kama utani vile nikaanza kumbembeleza asifikie hatua hiyo ila akakomaa na msimamo wake, sie tukaondoka nakumbuka usiku nimemtumia msg nyingi sana za kuonyesha jinsi gani ana thamani kwangu, cha kusikitisha kascreen msg then akamtumia Mike ambaye ni mtu wake kama alivyodai, Mike kachukua namba akanipigia simu leo mchana kuwa niachane na huyo binti kwani ni mchumba wake na ni jukumu lake, kusema ukweli nilimjibu mshkaji sorry bro sikujua japo moyoni kimeniuma kupita kiasi, sina amani ata kidogo, naombeni ushauri tu nichukue harua gani, maana ksemà kweli bado sijaridhika, au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?
Achana nae huyo hakupendi mbona huku JF wanawake wapo wengi tuu komaa na kina Miss natafuta
 
pole,kumbuka your destiny is not tied to the person who left,let her go and stop begging her to stay becoz that part of your history is over.
Don't try to rise the dead mkuu,hang up your phone,wash your face and start afresh.
 
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya siku. Kiukwel mwenzenu nipo katika hali ngumu, nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja takribani mwaka umeisha. Sasa toka mwaka uanze amekuwa mtu wa vituko sana, nikaamua kupeleleza kimyakimya ila sikufanikiwa, kunà siku moja nilitumiwa msg na mtu kuwa niachane na huyo dada ila nikaipuuzia, sasa last week nikaenda kwake nikiwa hapo akampigia mtu simu katika maongezi ni kama walikuwa wanapanga mwezi wa kubeba ujauzito, aliongea muda mrefu na baada ya mazungumzo nikamuuliza alikuwa anaongea navnani, akanijibu ni rafiki tu niyapuuzie coz uwa wanataniana, ofcoz nilimbana sana kwa maswali lakini nikawa nimehisi jambo, jana nikamchukua rafiki yangu tukaenda ili aniweke wazi kwasababu tokabmwaka uanze simuelewi, kiukweli alikiri aliyoyaongea na huyo kaka na akasema yupo nae kwenye mahusiano kitambo sana ata kazi alimuunganishia yeye hivyo pia ngumu kutengana nae, wakuu niliona kama utani vile nikaanza kumbembeleza asifikie hatua hiyo ila akakomaa na msimamo wake, sie tukaondoka nakumbuka usiku nimemtumia msg nyingi sana za kuonyesha jinsi gani ana thamani kwangu, cha kusikitisha kascreen msg then akamtumia Mike ambaye ni mtu wake kama alivyodai, Mike kachukua namba akanipigia simu leo mchana kuwa niachane na huyo binti kwani ni mchumba wake na ni jukumu lake, kusema ukweli nilimjibu mshkaji sorry bro sikujua japo moyoni kimeniuma kupita kiasi, sina amani ata kidogo, naombeni ushauri tu nichukue harua gani, maana ksemà kweli bado sijaridhika, au na mimi nimthibitishie Mike kuwa nilikuwa nae kwenye mahusiano?
Move on tu, kuna watu wanakuja katka maisha yako ili kukufundisha jambo , huyo demu mwache aende hakufai!!!
 
Pole sana mleta mada, kubali kwamba huyo si wako tena japo waweza hisi ni ndoto, kisha muda utakuponya Ila kwa maumivu makali.

Kusema kweli Mimi nayachukia sana mapenzi, na naona Siasa na Mapenzi ni vitu vinavyokaribiana sana.
 
mkuu James Mwidoro stop being a boy and be a real man,unawezaje kuwa weak kiasi hicho?huyo mwanamke is she the air you breath?kwani what else do you want kama mpaka unachomwambia kashamtumia mpenzi wake anayempenda na mpaka mkwara unapigwa,unataka umpe ushahidi gani wakti tayari opponent wako anajua unamsumbua mpenzi wake,For God sake mkuu stand on your two feet mapenzi hisia ambazo huja tu automatically huwezi zilamisha you are not loved you are just being used.
 
Sasa mkuu upo gizan unaomba ushauri mi naona kam ungeomba taa hvi

🚶🚶🚶akili zangu nazijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom