Mimi si mtu wa benki, ila nadhani inategemea na upatikanaji wa noti, ila hilo haliathiri kwa vyovyote kiwango unachotoa, kama max ni 1.2 basi na utaitoa kama kawaida. Na buku tanotano haziwezi zikatoka kwa laki 4 in a go maana ni rundo kubwa. Uwe na amani mkuu, imeshanitokea Stanbic na nikapata...