Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

Nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa anasimangwa sana na mawifi zake nilipomsihi waende hospital anasema yeye anauhakika aliwah zaa kpindi cha nyuma yaan ananitega sana anafkia hatua yakunijia usk geto kwang na kunishka uume mpaka anatoa machoz anaomba niinusuru ndoa yake sababu anaweza kutmuliwa asiposhka mimba. Hebu nishaurin wakubwa cjui nimgegede au nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wang

Nafsi yako imekubaliaana nae na ndiomaana umemruhusu aje geto akuvue nguo halafu ashike uume wako
 
Nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa anasimangwa sana na mawifi zake nilipomsihi waende hospital anasema yeye anauhakika aliwah zaa kpindi cha nyuma yaan ananitega sana anafkia hatua yakunijia usk geto kwang na kunishka uume mpaka anatoa machoz anaomba niinusuru ndoa yake sababu anaweza kutmuliwa asiposhka mimba. Hebu nishaurin wakubwa cjui nimgegede au nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wang
Hii ni hadithi ya kubuni. Anaweza kufikia hatua hiyo ghetoni kwako na wewe ukalalama tu? There must be something wrong with your sexual hormones.
 
Ushauri mwingi unaokuja humu ndio unaoreflect maisha ya vijana wa kisasa. Ukiamua kufanya dhambi, basi fanya na uendelee isiwe kidogo tu kwake huyo, nenda kwa wengine wote ambao waume zao hawana uwezo na uzalishe wake zao.

Kama una imani hata chembe kwa Mungu, basi hutathubutu kufanya kitu kama hicho. Some things are best evaded by running away. Hebu jiulize KWA NINI WEWE na sio mtu mwingine?

Take it or leave it, utajuta uamuzi wako baada ya kula tunda lisilokuhusu, wewe sio Mungu ati usolve matatizo ya watu. shughulikia future yako brother.

Huyu ni mtu mzima,anajua mema na mabaya. Sasa mimi nashangaa anapoomba ushauri kwenye suala kama hili! Ina maana hapa amekuja kuomba "go ahead" we bwana endelea tu kwa wakat wako.
 
Ushauri mwingi unaokuja humu ndio unaoreflect maisha ya vijana wa kisasa. Ukiamua kufanya dhambi, basi fanya na uendelee isiwe kidogo tu kwake huyo, nenda kwa wengine wote ambao waume zao hawana uwezo na uzalishe wake zao.

Kama una imani hata chembe kwa Mungu, basi hutathubutu kufanya kitu kama hicho. Some things are best evaded by running away. Hebu jiulize KWA NINI WEWE na sio mtu mwingine?

Take it or leave it, utajuta uamuzi wako baada ya kula tunda lisilokuhusu, wewe sio Mungu ati usolve matatizo ya watu. shughulikia future yako brother.

yani mkuu kabla ya kukutana na huu ushauri wako nilisikitika sana watu wanavyotoa ushauri! sitaki kuamini kuwa waliotangualia kutoa ushauri wameoa! naamini wengi ni vijana ambao hawajui ndoa ni nini! mdau biblia inasema ndoa na ieshimiwe na watu wote tena wewe ni rafiki yako huyo ndo mkeo! vipi kama wewe ukija jua kuwa huyo mchumba wako anatembea na rafiki yako? tena mbaya amabayo nakutabiria ni hii hapa kama ukitembea naye ili umpe mtoto na mke wako mtarajiwa hatazaa kwa ajili ya dhambi yako hiyo!
 
mie nakushauri achana naye, hiyo dhambi itakutafuna hadi kizazi chako kingine. mtenda, hutendwa. kumbuka.
 
Kijana nani kakwambia kuwa wewe unauwezo wa kuzalisha? wakati ndo kwanza una mchumba. Je unajuaje na una uhakika gani kuwa mkioana na huyo mchumba wako naye hatakwenda kuomba huduma kama hiyo kwa mtu mwingine? Mtoto ni mbaraka kutoka kwa MUNGU hivyo wakati ukifika atapata mtoto na Mungu akiona vinginevyo basi akubaliane na yote kuwa ni kwa utukufu wake mola. Nilitegemea utaomba ushauri namna ya kuokoa ndoa ya rafiki yako kwa ushauri mzuri, maombi na kuwaona madaktari!!.. Badala yake wewe ndo unataka kumvunjia ndoa, tena kwa skendo ya uzinzi, kibaya zaidi hata mimba yenyewe anaweza asipate. Achana na mawazo hayo potofu, tena ukithubutu jiandae kupitia malipo hayohayo ukishaoa.
 
Acha uzinzi kijana, na huyo mke wa rafiki yako mwambie aache uasherati.
 
Nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa anasimangwa sana na mawifi zake nilipomsihi waende hospital anasema yeye anauhakika aliwah zaa kpindi cha nyuma yaan ananitega sana anafkia hatua yakunijia usk geto kwang na kunishka uume mpaka anatoa machoz anaomba niinusuru ndoa yake sababu anaweza kutmuliwa asiposhka mimba. Hebu nishaurin wakubwa cjui nimgegede au nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wang

Angalia ml;a vya wenzake na vyake uliwa,tena tigo!!!!!!!! Alafu ukimla mtoto atafanana na wewe kufa mtu sijui utaweka wapi uso wako na mpenzi wako ndipo atakaposepa na jamaa ndipo atakapomuacha mkewe na wewe ndipo utakapomaliza urafiki nan jamaa na wewe wewe ndipo utakapong'ang'aniwa na uyo dada
 
Hii thread unawapa wakati mgumu sana wale wenye ndoa ambao hawajabahatika kupata watoto!!!
 
Watu wengi wwmejikuta wwkifanya makosa makubwa wakiamini madhambi yao yatabaki kuwa siri. Utaharibikiwa ndg yangu mshauri huyo bi dada kwa unyenyejevu amshauri mumewe waende hospital wachek tatizo ni nini. Hapo utakuwa umeplay yo part.
 
Back
Top Bottom