Recent content by EMMYGUY

  1. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania JF Today's birthdays: September 11

    Mkuu mshukuru Mungu kwa kila hatua.
  2. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Akamatwa na ubuyu inasemekana una bangi

    Za mwizi........!!
  3. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Ni Ni kweli mkuu.
  4. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Namuona bado anapambana kutafuta mkuu. Nimemuachia yeye na maamuzi yake sasa.
  5. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Je, kweli JF iko salama?

    Haukumbuki JamiiForums imepitia magumu mengi kwa sababu yako? Unahisi ni kwanini hayo yote yametokea? Siku ukilipata jibu sidhani tena kama utaweza kuhoji. Lakini pia, kumbuka taarifa zako muhimu unapozijaza kwenye mitandao ya kijamii hazifutiki milele.
  6. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Kuna mdogo wangu alikuwa anahitaji kiwanja, nikamshauri asubiri msimu wa mvua (masika) ndo ananunue, lakini namuona anazidi kukaza fuvu. Kipindi cha mvua ni mda wa kuona mkondo wa maji unapita wapi na wapi panastahili.
  7. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Akamatwa na ubuyu inasemekana una bangi

    Duh! Pole yake.
  8. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr special thread

    Kongole kubwa kwa kaka Mshana Jr.
  9. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

    Tafuta pesa mkuu. Punguza makasiriko na kutegemea vya kupewa.
  10. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Wakuu, nishaharibu tena huku.... mtoto amesha unguza picha allooo

    Mkuu , hebu tupe mrejesho wa Ijumaa.
  11. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania KERO Platinum Credit wananizungusha kunipa barua yangu ya settlement nifunge mkopo wao

    Hao wanautofauti gani na kausha damu?!
  12. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Hali ya umeme ikoje huko kwako uliko..???

    Tanesco hawajali maumivu ya mteja. Kila kukicha wanazidi kutuungishia vifaa vyetu na hawaoni kama ni tatizo.
  13. EMMYGUY

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Watu wamejenga hadi kwenye njia za maji, mvua ikinyesha kubwa na ikaleta athari tunataka Serikali itulipe na kutupatia msaada pia.
Back
Top Bottom