Kumbe kiranga domo zege hivi😳
Hii ndiyo ile Jacky ana-fight aimiliki? Wanawake kuweni na huruma aisee!Kuhusu baridi usijali, nimekaa nyanda za juu kusini baridi inadrop hadi tano
Unaikumbuka hii nyumba ya Mzee Mengi
View attachment 3614924View attachment 3614925
Acha iwe siri tuKwanini🥺
Kuna coleration on nyingi tu kuanzia mada anazo zipenda, hatoi mabandiko ovyo, that's because ww unayatoa, haamini katika mungu(ww mganga).. Also tabia zisizo Eleweka na mabandiko kama ww tuKwakuwa wote hawaamini katika Mungu?
Hiyo nadhani alipewa ila pengine anataka vya zaidiHii ndiyo ile Jacky ana-fight aimiliki? Wanawake kuweni na huruma aisee!
Ni kweli , pengine alitaka mansion kama za nje, unakuta zipo msituni lakini ni za kisasaMandhari ya nje almost perfect.. Lakini ndani usasa ulikuwa mwingi na mifumo ya ulinzi mpaka ikapoteza uasili na kuwa Kama gereza dogo la gharama
Kwahiyo hapa unafanya similarities na Mimi!?😀Kuna coleration on nyingi tu kuanzia mada anazo zipenda, hatoi mabandiko ovyo, that's because ww unayatoa, haamini katika mungu(ww mganga).. Also tabia zisizo Eleweka na mabandiko kama ww tu