wanaonunua masoko ya kawaida ni watu wa uchumi wa chini na wastani, wengi ambao uchumi umechangamka ni supermarket. Supermarket ubora umehakikishwa, hakuna longolongo za kuuziwa vitu vilivyoharibika. Ndio maana ni vigumu kwa wakulima kufanya biashara na supermarket coz ya vigezo vyao
Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika.
Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.