Recent content by EMMANUEL SHOMBE

  1. E

    CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

    Inamaana katibu wake hajui lolote???????????
  2. E

    CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

    Wamekuja kuweka mkakati wa kuchuja wote ambao wamekubwa na masoooo
  3. E

    Jerry muro akoswa risasi?

    Wakimua Jerry serikari itakuwa imehusika maana haya yote yanatokea hawachukui hatua. kwa mtazamo wangu Taaruma ya habari itakuwa imekufa. UWAZI NA UKWELI HAUTAKUPO TENAAAAAAAAAAAAAAAA katika taaruma hii mhimu.
  4. E

    Jerry muro akoswa risasi?

    Mungu msaidie ndugu yetu Jerry kwa haya ambayo yanamwandama
  5. E

    Jerry muro akoswa risasi?

    Wanataka kupoteza uhai wa jerry kwa ajili ya UWAZI WAKE
  6. E

    Oyaa!! - Usionyeshe Salary Slip Yako!

    Kama hukuonyesha kwamuke wako utamuonyesha nani? au kiburudisho?
  7. E

    Oyaa!! - Usionyeshe Salary Slip Yako!

    Hayo ni mawazo ya enzi za ujinga
  8. E

    Oyaa!! - Usionyeshe Salary Slip Yako!

    Kwani kosa liko wapi? kama katika kuapa katika siku ya ndoa yenu kuwa UTAMPENDA WAKATI WA SHIDA NA RAHA. Sasa kama mtu alidiriki kusema maneno hayo mbele ya kiongozi wa dini yake, kwanini leo hii asimwonyeshe 'salary slip?'Ambao hawawaonyeshi wake zao salary slip jua hao ni hawana upendo wa...
  9. E

    Let's act - Microfinance loans through Kiva.org

    Address zao hazijakaa wazi. utapeli huuuuuuuuuuu...........
  10. E

    Tamko la Wapiganaji CCM Feb 10, 2010

    Mbona majina yao hawajataja? kama ni wapiganiaji kweli wangeweka majina yao. Hivi CCM kuna nini?
  11. E

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    ENG. Manyanya mko wapi? au ile ilikuwa ni nguvu ya soda???????????????
  12. E

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Mwakyembe alikuwa anawania uwaziri mkuu.... sasa amekwisha...........
  13. E

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Mungu amsaidie mpiganaji wetu muro.........
  14. E

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    mhuuuu ya Babu seya inawezekana yarudi kwa muro
  15. E

    Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    Uongozi mzima wa ultimate hawafuata taratibu za kazi. hata hicho kikao cha nidhamu hakuna lolote. au hiyo kampuni ya ultimate ngereja ndiyo mkurugenzi? hata hivyo sio mstarabu pamoja na cheo chake. Ngoja cheo kitabaki tu. nitamshauri mnaku aende kwetu swanga.......
Back
Top Bottom