Let's act - Microfinance loans through Kiva.org


Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,029
Likes
18,087
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,029 18,087 280
Nimeambiwa hii na mshkaji kwamba kuna hii microfinance loans organization through Kiva.org, wenye haja ya kupata mkopo wanaweza kupata na wanaotaka kukopesha wanaweza kukopesha.

Naambiwa It is pretty straight forward, you fillup credit with your credit or debit card through paypal, choose where you want to lend money.
Read the profiles and select the person or a group who you want to lend money to. The only thing is you don't get interest on it. Its a kind of charity but you get your money back.

When I asked "And how can you ensure they will pay back?" I was told "Its kiva's job to do so they have a safety net." which is not entirely satisfactory but I guess one has to read the fine print in the terms of agreement to get the full picture.

Kuna mtu yuko familiar na hii network au nyingine kama hizi? Zinaweza ku make a difference katika kuwapatia watu seed money.

Siyo kila siku kupiga kelele za anti-ufisadi tu, mkopo wa hata $ 200 unaweza kufanya a big difference to the right person/ group.

Mitaa mitaa ya India na Bangladesh wadosi wanafanya kweli sana tu na people powered Microfinance networks za aina hii.

Any experiences / thoughts kuhusu bongo?
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,029
Likes
18,087
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,029 18,087 280
Of course, of course..

What was I thinking?
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
81,995
Likes
49,146
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
81,995 49,146 280
Of course, of course..

What was I thinking?
Mazee kwani vipi? Thread imedoda nini?

Hii kiva mimi nimeshaisikia lakini sikuitilia maanani....
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,029
Likes
18,087
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,029 18,087 280
Mazee kwani vipi? Thread imedoda nini?

Hii kiva mimi nimeshaisikia lakini sikuitilia maanani....
It's more like watu wamedoda zaidi kuliko thread imedoda.

Kama huongei ufisadi, humbash Kikwete au huongelei punanny your fate is sealed in the same envelope as this thread.

Halafu watu wanajifanya wana uchuuuungu na nchi, hata kupost swali tu kazi, let alone kujisajili na kuangalia kuna Watanzania wangapi wanatafuta Microfinance loans.

Unajua there are times I am tempted to join you in the "Ndivyo tulivyo" mantra, my only quip is that it has some scandalous unsupported biological implications.
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Hiyo loan isiyo na interest haijakaa vizuri.
 
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Messages
8,937
Likes
70
Points
145
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2009
8,937 70 145
Yeah! "there is no free lunch" ...........in this world!
 
Ruge Opinion

Ruge Opinion

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2006
Messages
1,770
Likes
362
Points
180
Age
64
Ruge Opinion

Ruge Opinion

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2006
1,770 362 180
Yeah! "there is no free lunch" ...........in this world!
Haven't you heard of Islamic banking? No interest is charged but there are other ways of getting a return on your savings or loan from a bank using Islamic banking principles.
 
Z

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Messages
1,638
Likes
366
Points
180
Z

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2008
1,638 366 180
Tatizo ni hao wanaosimamia hiyo kiva huku kwetu...ukienda kuwaona na kuongea nao...ni different stories kabisa....very dissapointing
 
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
6,803
Likes
380
Points
180
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
6,803 380 180
And where are they located in Bongo Land?
 
Binti Maringo

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
2,805
Likes
12
Points
0
Binti Maringo

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
2,805 12 0
Kiranga mtu wa bongo utampata vipi hana address wala ssn ya kuweza kum track akichukua kw ajina tofauti jee maana kitu kama Identification watu wana foji majina yao..hadi birth certificate.....kwa bongo i doubt!....
 
E

EMMANUEL SHOMBE

Member
Joined
Oct 2, 2009
Messages
89
Likes
0
Points
0
E

EMMANUEL SHOMBE

Member
Joined Oct 2, 2009
89 0 0
Address zao hazijakaa wazi. utapeli huuuuuuuuuuu...........
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,029
Likes
18,087
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,029 18,087 280
Address zao hazijakaa wazi. utapeli huuuuuuuuuuu...........
Address za nani hazijakaa wazi? Utapeli wa nani? Umesoma hizo links zao? Unafahamu jinsi internet based microfinancing inavyofanya kazi? Umejisumbua hata kuelewa model yao ilivyo kabla ya kubwatuka? Ushawahi kutuma hela kwa Moneygram au Western Union?

Ukitaka kufanya accusation bora uje na nondo solid, otherwise tutakuona kama a birdbrained tired azz twat usiyejua alif wala be unataka kujisikia ukiongea tu.

Kama una idea ya unachoongea tuambie hapa, this thing is layered as can be seen in the link provided, sasa unaposema "address zao" unamaanisha nani? Au unafikiri unanunua unga wa muhogo duka la chama kwa hiyo lazima ulione duka la chama lilipo?

Some people are so medieval even in the age of the net.Kama una criticism hatukatai, lakini you gotta come correct, hizi habari za ku fart idiocracy left right and center na kufikiri watu tutakuachia uharibu hali ya hewa kwa ushuzi wako mchafuu sahau.
 
Kingo

Kingo

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2009
Messages
820
Likes
189
Points
60
Kingo

Kingo

JF-Expert Member
Joined May 12, 2009
820 189 60
In Tanzania they use BRAC Tanzania and TUJIJENGE Tanzania sects respectively.
 
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Messages
241
Likes
17
Points
35
Mziba

Mziba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2010
241 17 35
We may build a team and use innovation to solve an old problem. Labda tufanyeni projects. Kwa mfano, ikiwemo kufundisha wajasirimali at a grassroot level a simplified version of business fundamentals in our language. I think a local "Mmachinga" should know how to open a bank account and why is it important for the business. Kiva is possible.
Ahsante
 
M

Mama Joe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Messages
1,507
Likes
77
Points
145
M

Mama Joe

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2009
1,507 77 145
Tujijenge nadhani inalink na SERO, Tujijenge ina ofisi Makumbusho na nadhani iko chini ya mtu mmoja aniaitwa Mwakibinga namfahamu inatoa mikopo kwa wote ila SERO ni kwa wanawake ipo Mikocheni jengo moja na SELF, mtu kama una nia watembelee, wanafundisha hata ujasiriamali, halafu hawa SERO hawawadai watu kibabe kama PRIDE. Mie nimewahi kwenda na ndugu yangu SERO ingawa sijachukua mkopo kwao ila wanasifiwa uaminifu wako utakuwezesha mkopo hadi 25mil. Tuwe tu na positive attitude afterall sie wenyewe pia hatuaminiki ndio kisa cha mabenki kutunyima mikopo.
 

Forum statistics

Threads 1,250,869
Members 481,514
Posts 29,748,902