Recent content by emkeyjr

  1. emkeyjr

    Hivi kwanini mademu wabaya huwa wanaringa sana?

    Fikra zao.. Salam uzaa uhusiano na wao kutokana na ubaya wao wanahis ni chombo cha kutumiwa na kuachwa na sio kwa uhusiano wa kudumu.. Nahisi ndio maana wanajiami kwa kuuongezea umbuzi kwenye sura zao Sent using Jamii Forums mobile app
  2. emkeyjr

    Jiko la umeme lenye plate 2 linaweza kutumia umeme kiasi gani kwa mwezi?

    Mmmh! Mtungi mkubwa mwezi? Au unatumia kuotea moto?
  3. emkeyjr

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Habari za jioni.. Ninamtoto wa kike miez 11, tatizo mtoto huyu anakula sana nguo.. Yaani akiona nguo umeivaa au ipo mahali popote anaitafuna .. Hii husababishwa na nini? Au ni hali ya ukuaji kwa mtoto
  4. emkeyjr

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Jaman mie naomben ushaur.... Sim yangu ya tecno j7 inasumbua sana kwenye kucharg... Badala ya kujaa wakat nacharg yenyewe inanyonya hadi inafikia hatua ya kushundwa kuwaka... Nishanunua charg hadi nimechoka sijaona mabadiliko. Ushaur wenu tafadhali
  5. emkeyjr

    Msaada: Tatizo Tecno j7 baada ya kubadili laini

    Hiyo ilishawah kunitokea kwenye sim kama yako.. Nilihangaika sana mwisho wa siku niliishia kuiflash tu
  6. emkeyjr

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Je kuna uhusiano wowote kati ya popo kuingia ndani ya nyumba kila mara na uchawi?
  7. emkeyjr

    Rooting Effects: Simu Tecno C5 haifanya kazi playstore na browsers

    iyo ni moja ya madhara ya kuroot.. mie ilinikuta iyo ikafikia hatua ilibidi niiuze kwa mtu ambaye hana utundu wa simu... tangu siku iyo nimekuwa muoga sana wa kuroot
  8. emkeyjr

    Msaada Tecno h6

    Ilishawahi kunikuta iyo.. Mie kwangu hard reset ilikubar.. Ila apps zote za google ziligoma kufanya kazi...
  9. emkeyjr

    Kwanini napenda sana kufanya mapenzi?

    Binadamu bwana.... Ukiwa na nguvu tabu, ukiwa huna unakimbilia kwa wamasai... Mbna hamliziki?
  10. emkeyjr

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Ukifanikiwa kuipata na ikakubali usiiupdate cz ukifanya hivyo utatakiwa uilipie tena
  11. emkeyjr

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hv kweli nikanunue kitu wakat ninaouwezo wa kukipata bure... Aaah wala sio wiz kabisaa na nafsi hainisuti..
  12. emkeyjr

    Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

    Daaah!! Hii apps nilikuwa naidharau sana... Nishaitoa mara kibao kwenye cm yangu... Tx guyz.. Mmenifungua leo na nishaiona uzur wake.. Watsapp ikasome kidogo
  13. emkeyjr

    Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

    Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Beka alipompagawisha kinoma Manka mpaka binti wa watu akatoa kilio cha raha. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu… Beka hakuishia hapo alizidisha manjonjo yaliyomuacha hoi Manka aliyeamua kujibu mashambulizi na mwishowe wote walijikuta...
Back
Top Bottom