Rooting Effects: Simu Tecno C5 haifanya kazi playstore na browsers

Rooting Effects: Simu Tecno C5 haifanya kazi playstore na browsers

hiyo ndiyo mistake nimefanya sema play store haifanyi kazi na kwa ufupi siwezi download chochote mbadala nafanyaje
Tumia simu nyengine/computer Ku download apk file ya google play services then utai install kwenye simu yako
Apk file unaweza jitumia hata kwa Bluetooth
 
chakufanya clear data za playstore na google play service then restart simu jaribu
 
Tatizo lako ni kwamba umeondoa baadh ya core apps ambazo zinaplay part kubwa kwenye google services , to get your device replace the whole system with a new one ( in other words you gonna have to flash your phone ), you can decide to root after that , but be sure to backup your system before you decide to mess up with system apps tena .

Download Techno C5 system here

Then use SP Flash Tool to flash the system ( video guide on how to use SP Flash Tool )

Goodluck.
 
Tafuta simu nyingine download playstore na playstore service kisha jitumie kwa simu yako.itafanya kazi.mimi pia ilishawahi nitokea nikafanya kama nilivyoelekeza hapo
 
Nimeroot sim yangu c5 Tecno. Nimetoa baadhi ya apps. Tatizo browsers zote hazifanyi kazi.

Naombeni msaada wenu wakuu.
iyo ni moja ya madhara ya kuroot.. mie ilinikuta iyo ikafikia hatua ilibidi niiuze kwa mtu ambaye hana utundu wa simu... tangu siku iyo nimekuwa muoga sana wa kuroot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom