Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

Hadi kwenye ios zote zina run vizuri sio kama wahatsapp inayobagua baadhi ya ios kama ipad
 
Daaah!! Hii apps nilikuwa naidharau sana... Nishaitoa mara kibao kwenye cm yangu... Tx guyz.. Mmenifungua leo na nishaiona uzur wake.. Watsapp ikasome kidogo
 
Hata mimi nimetokea kuipenda sasa, ugeni wa mambo pia ni tatizo, nilisha unstall mara kibao..
 
Msaada wana JF hivi kuna link ambayo itaniwezesha kupata Korea series kwenye telegram
 
Telegram kuna channel inaitwa "The movie share" Jaribu hiyo but sina hakika kama ina series.
 
Habari wanajamvi?
Kwa wale wanaojua kuumiza mioyo ya wenzi wao yaani wanaokua na pulling ya kua na wenzi zaidi ya mmoja na ukataka usishikwe ugoni hasa mamesehi au calls...
Telegram ni booonge moja la app litakalokufanya utunze heshime yako maana ina siri sana kuliko whatsapp na zinginezo..
 
Back
Top Bottom