Kwa kweli hamvijui vitabu. Ninyi nyote ni Wa Jana. Kuna vitabu kama Hanahela., Hadithi za babu zetu Wa Tanganyika, Robinson Crusoe, Hadithi na vitendo, Machimbo ya mfalme Sulemani na vingine vingi.
BuziTata kwenye hiyo elfu 20000 toa 2000 ambazo mwenye duka alibaki nayo kwenye ile 10000 alyoichukua kwa jirani maana alimpa yule tapeli sh. Elfu nane tu, na yeye akabaki na hiyo 2 000.hivyo hasara ni sh. 18000
Jibu elfu 18.mnunuzi kaondoka tu na elfu 8. Thamani ya mkate aliouchukua usiihesabie kwa sababu tayari mwuzaji ameishakata elfu 2 zake na anazo mfukoni mwake. Sasa jumlishia elfu kumi alizotoa tena kwa jirani jumla ni elfu 18
Mimi nadhani mzungu aliulizabei bei ya kusajili akaambiwa one thousand bila kutajiwa ni dola au shilingi. Yeye akajua ni dola. Bei ya kawaida ya kusajili line ni shilingi elfu moja
Sawa mkuu. Na mimi nilikuwa nawashangaa wanaposema kila mtanzania anaweza kununua Noah kwa mgao wa fedha hizo. Tukigawana fedha hizo kila mmoja anapata karibia sh. Milioni mbili tu. Ni hela ya kununulia toyo na siyo Gari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.