grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Nungunungu a.k.a nyumba ya mibaHedgehog kiswahili sijui
Nungunungu a.k.a nyumba ya mibaHedgehog kiswahili sijui
huyu mbwa alikuwa anajifunza kuwinda?
hawa kalungu yeye kwa imani za kwetu ni kwamba wakija hapo nyumbani wankuletea hela ya hatari na hao nungunungu miiba yake huwa tunaitumia kuweka kwenye mlango ili mwizi asiweze kuingia ndani hii ni kwa mujibu wa mila mbofumbofu
Huyo mbwa mmbea, alienda kumpiga chabo nunguboy akiwa anapata mambo kwa wife wake
Mkuu hela ya hatari kwa maana ya nyingi au mkosi? Kama vipi nikaishi wanakopatikana ili waniletee mijinoti. Ndio maana kina meku wana majihela
mkuu Paka Mweusi, nilipo hawa wadudu wanapatikana kwa wingi sana!kama nikijua wanaliwa nitabana bajeti ya mboga na hata kuanzisha biashara mkuu wangu!!Mbona umesisitiza hivyo kwani unataka kuwala..??
KalunguyeyeHedgehog kiswahili sijui
Hata Tanzania wapo huku Moro Moshi wamejaa kibaoHawa wanapatikana South America sio afrika!!!
Umenikumbusha course ya chordate enzi za chuo.wanaopatikana south America wanaitwa Armadillo mkuu babu lao. Hao nungu nungu/karunguyeye pale Moshi wapo wa kumwaga.
Moshi wamejaa tele,au nako ni South America?Hawa wanapatikana South America sio afrika!!!
Wapo wengi tu hata hapa Tanzania mkuu. Miaka ya 90 kule Ubungo Kibangu kuna wale wawindaji wa kabila la Wapangwa walikuwa wanauza nyama yake.Hawa wanapatikana South America sio afrika!!!