Hivi unajua vitu vyote vitamu vinaanzia na neno --ku.!??'?

godfrey godizle

New Member
Mar 31, 2017
1
0
Je wajua kua vitu vitamu vyote vinaanzia na neno --ku?????????

Km kuku,,,kula,,kulala,,,kuogaa,,kucheza,,,kusengenya,,n.k

Na km unavingine niongezee
 
Wenye vyeti feki waliofukuzwa mnaanza kuingia humu mmoja mmoja. Hivi wewe unajua vitenzi, viwakilishi, vivumishi, ngeli n.k au unajua neno tu?
Kwa taarifa yako hakuna neno linaloanzia na ku...
ngoja mi nipite tu maana sina utaalamu wa ngeli
 
Vitu vitamu ni pamoja na ndizi, embe, sukari, pera, zabibu, viazi, bibo, asali........

Mada yako inaangaliwa na shetani kwa macho bila kupiga kope.
 
Back
Top Bottom