Recent content by emanuel tony

  1. E

    JamiiForums Tanzania Airtel Money sasa inanipa mashaka

    mimi leo ni siku ya 10 nimenunua luku sijapata naambiwa ile yako haijatumwa nikiangalia salio ni sh.000 afadhali airtel kuliko vodacom
  2. E

    JamiiForums Tanzania "Hakuna tofauti ya Mrema wa NCCR na Lowasa wa CHADEMA"

    mmekosa la kuandika nyie
  3. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa amuambia Magufuli: Huwezi pambana na matajiri, hawa ndio wanaoleta viwanda na ajira

    hvi ina maana gani mada iletwe humu ndani watu waanze kumtukana mtu ebu tumieni busara kidogo au hekima kidogo humu ndani sio kila kitu ni ushabiki wa kisiasa toa maoni yenye maana
  4. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa amuambia Magufuli: Huwezi pambana na matajiri, hawa ndio wanaoleta viwanda na ajira

    vizuri mh:lowassa umeongea point itakayosaidia kukuza uchumi wa taifa letu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Afisa Ugavi Wilaya ya Babati, Emmanuel Salehe apata ajali ya gari na kufariki

    polen sana mliopatwa na matatizo hayo
  6. E

    JamiiForums Tanzania Arusha halisi ilivyo na watu wake

    [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  7. E

    JamiiForums Tanzania Arusha halisi ilivyo na watu wake

    arusha kwel ipo vizuru kimandhari
  8. E

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

    huyo jamaa anapenda kujipendekeza sana ana lolote hayo mambo yalikuwepo na yatazidi kuwepo tu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wilfred Lwakatare: Afya yangu iko imara

    pole sana kamanda wetu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa ahudhuria tukio la kuwekwa wakfu Askofu Jackson Nasoore wa Nairobi Kenya

    lowassa bado atazidi kung'aa tu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kubenea, Mwakyembe kakukosea nini? Mbona unamchafua sana, acha kutumika

    nadhan ww uliyeandika hapa ni mamluki wa mwakyembe kubenea ni tofauti na unavyomsemea
  12. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wiki ya uzinduzi wa kuboresha usalama wa raia viwanja vya Biafra, Rais Magufuli azungumza

    mbona rais ni dar tu anaonekana na mwanza mbona aendi mikoa mingine?
  13. E

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamjibu Magufuli kuhusu kutofanya siasa, wasema wataendelea kwa kuwa katiba inawaruhusu

    mungu isaidie tanzania inaelekea sipo kabsa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Muungano: Wazanzibari wadai kura ya Maoni

    tanganyika inawauniza sana waznzbr kila kitu kinafanyika hapo dodoma kwann?imefika wakati tujiulize tulitoka wapi na tupo wapi na tunakwenda wapi
Back
Top Bottom