Lowassa amuambia Magufuli: Huwezi pambana na matajiri, hawa ndio wanaoleta viwanda na ajira

hvi ina maana gani mada iletwe humu ndani watu waanze kumtukana mtu ebu tumieni busara kidogo au hekima kidogo humu ndani sio kila kitu ni ushabiki wa kisiasa toa maoni yenye maana
 
Hakuna cha point hapo mimi nawajua sana Wafanyabiashara ukiona wanalia ujue wamebanwa kuna sababu kwa nini wameamua kufanyia huo Mkutano wao Arusha na hiyo yote ni kwa sababu ya VAT ya kwenye Utalii wao ndiyo wanaofanya hiyo biashara na wamekuwa hawalipi kodi miaka yote, hivyo naelewa ninachokiongelea na ndiyo maana hapo amaeongela Utalii haswa huyo Meya!
Barbosa mustakabali wa nchi haujahaujadiliwi kwa mihemuko na jazba. na ndio maana Tz iko nyuma maana yote kwa kuendekeza siasa
 
Barbosa mustakabali wa nchi haujahaujadiliwi kwa mihemuko na jazba. na ndio maana Tz iko nyuma maana yote kwa kuendekeza siasa
Kauli za kijinga kama za lowassa lazima ziamshe mihemuko ya wazalendo hakuna namna unaweza kuizuia. Anaongea upuuzi sana.
 
Siku zote hao matajiri walikuwa wapi kuleta hivyo viwanda zaidi ya kutunyonya sisi masikini tu? Kwanza unakuta tajiri alfu anaomba misamaha ya kodi kama mwekezaji then anatumia vibaya misahama. Tumeshawachoka mfyuu
 
Haijalishi sisi tunataka kodi zetu hata huko CCM pia wanabanwa na wanalipa hivyo fisadi (lowasa) lenu ni lazima lilipe kodi!
hivi Mh Lowassa mtamshitaki lini kwa ufisadi?maana inavyoelekea mahakama yake iko humu jf.nadhani wewe utakuwa mzee wa baraza!
 
Back
Top Bottom