Yaliyojiri wiki ya uzinduzi wa kuboresha usalama wa raia viwanja vya Biafra, Rais Magufuli azungumza

mm situmbui majipu yanajitumbua.
nampongeza jk kwikwete. duh!
Hahahahahahaaaaa!! mkubwa halekebishwi ila anajilekebisha, jk leo kapongezwa.
 
Wengi tumetazama na tumepata picha tofauti...Ile ilikuwa ni gear ya JPM kumuita Madabida(Muuza ARV Fake)Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dsm aliyekuwa meza kuu.

Alimuita,lkn akashtuka kuwa kakiuka protocol kwa kutaka kumuitwa Mwenyekiti wa CCM wakati Meya anaweza kuwepo,hata ita yake ilikuwa kana kwamba hajui Meya wa K'ndoni ni nani?Maana Rais alisema hivi Meya wa Kinondoni yupo?anaitwa nani vile...Wakamwambia Jacobo,Rais akasema nani jina lake!?Maana sijui jina lake...Baadae akaita akasema Meya huko ulipo njoo hapa(Wakati ilitakiwa ajuwe kwa tukio lile Meya alipaswa kuwa HT kuliko hata Madabida)

Na ukitaka kujuwa Rais ni "mchonganishi" akasema Meya wa Kinondoni hayupo naona hachukii ujambazi na uhalifu,Akaongeza "Karibu mwenye kiti wa CCM mkoa,wewe upo hapa sababu unachukia majambazi na uhalifu"...(akasahau huyo Madabida ana tuhuma ya uhalifu ya kutuuzia ARV fake ambayo yeye JPM kakataa kulipa fidia baada yakusema kesi ya kimagumashi kwa Madabida kushinda)

Kwa aibu akasema hakuna diwani wa CHADEMA?Akapanda jamaa mmoja hivi diwani wa chadema,alipotaka kuongea KIKWETE akachomeka akamwambia "Sema Magufuli hoyeee"...Jamaa akawa anasita,Kikwete akasisitiza...Sema Magufuli hoyeee!!Jamaa ikabidi aseme "Magufuli hoyeee"..Halafu akamgeukia JK akamwambia "Umeridhika sasa niliposema Magufuli hoyeee". M

Baada ya pale jamaa alitoa salamu,na kusema mimi ni Chadema na sisi Chadema tunachukia uhalifu.Kwa hiyo mtoa mada watu tulikuwa makini kuangalia...Na kuna kitu leo tumeendelea kujifunza juu ya JPM na siasa za Tz
 
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI APATWA NA BUTWAA VIWANJA VYA BIAFRA

Ni mara tu baada ya kumtaka mastahiki Mayor wa Kinondoni Mh Boniface Jacob
Kutoa salamu zake kwenye uzinduzi wa mpango wa usalama wa jamii katika viwanja vya Biafra.

Mh Rais ameshitushwa sana na kutokuwepo kwake mstahiki mayor ikamlazimu kuulizia kama yupo diwan wa eneo husika akajitokeza kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, alidai kuwa ni diwan wa chadema japo alijitambulisha kwa hofu kidogo.

Na baadaye Ndugu Dovutwa, akatoa salamu zake.
Serikali ijisahihishe
Hata ningekuwa mim nisingetokea ya nn kusimangwa mbele za watu.
 
Wengi tumetazama na tumepata picha tofauti...Ile ilikuwa ni gear ya JPM kumuita Madabida(Muuza ARV Fake)Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dsm aliyekuwa meza kuu.

Alimuita,lkn akashtuka kuwa kakiuka protocol kwa kutaka kumuitwa Mwenyekiti wa CCM wakati Meya anaweza kuwepo,hata ita yake ilikuwa kana kwamba hajui Meya wa K'ndoni ni nani?Maana Rais alisema hivi Meya wa Kinondoni yupo?anaitwa nani vile...Wakamwambia Jacobo,Rais akasema nani jina lake!?Maana sijui jina lake...Baadae akaita akasema Meya huko ulipo njoo hapa(Wakati ilitakiwa ajuwe kwa tukio lile Meya alipaswa kuwa HT kuliko hata Madabida)

Na ukitaka kujuwa Rais ni "mchonganishi" akasema Meya wa Kinondoni hayupo naona hachukii ujambazi na uhalifu,Akaongeza "Karibu mwenye kiti wa CCM mkoa,wewe upo hapa sababu unachukia majambazi na uhalifu"...(akasahau huyo Madabida ana tuhuma ya uhalifu ya kutuuzia ARV fake ambayo yeye JPM kakataa kulipa fidia baada yakusema kesi ya kimagumashi kwa Madabida kushinda)

Kwa aibu akasema hakuna diwani wa CHADEMA?Akapanda jamaa mmoja hivi diwani wa chadema,alipotaka kuongea KIKWETE akachomeka akamwambia "Sema Magufuli hoyeee"...Jamaa akawa anasita,Kikwete akasisitiza...Sema Magufuli hoyeee!!Jamaa ikabidi aseme "Magufuli hoyeee"..Halafu akamgeukia JK akamwambia "Umeridhika sasa niliposema Magufuli hoyeee". M

Baada ya pale jamaa alitoa salamu,na kusema mimi ni Chadema na sisi Chadema tunachukia uhalifu.Kwa hiyo mtoa mada watu tulikuwa makini kuangalia...Na kuna kitu leo tumeendelea kujifunza juu ya JPM na siasa za Tz

mtaendelea kujifunza mpaka mkome, awamu hii hakuna kubembelezana.
 
Leo akiongea, kwenye Uzinduzi wa Kuboresha Usalama wa RAIA kwa Jeshi la Polisi, pale Biafra Kinondoni, Waziri Nchemba amedai eti, atawafuata mpaka kwenye familia zao wale wanaotoa maoni na mawazo yao binafsi.

Huku ni kulewa madaraka.

nimjuavyo mwigulu, atawakomesha sana, hanaga kubambelezana
 
Hutuba haina tija
1466856809720.jpg
 
Kulivyo na vibaka kinondoni huyo meya asiposhirikiana na serikali watakuja mkaba mchana jua linawaka hatakuwa na kituo cha polisi cha kukimbilia wala sehemu ya serikali ya kukimbilia.Au hajui kuwa waanzilishi wa Panya road ni vibaka wa hapo kinondoni?

Anajitia kususa sio.Polisi wakimsusa pia atakuwa mgeni wa nani?
CHADEMA bifu na polisi hamtafika mbali jitahidi kuwapa ushirikiano na kuwa karibu nao.Kutangaza bifu na vyombo vya ulinzi na usalama sio afya kwenu.

Hongera kwa huyo diwani anajitambua .Ni aibu watu wa kinondoni wanaenda halafu meya haendi!!
Mkuu njaa itakuua
 
MH RAIS JPM AWACHANA UKIWA KINONDONI KWENYE UZINDUZI WA MABORESHO YA JESHI LA POLISI..!
MREMA, "ASEMA WAPINZANI TUMEZIDIII"
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom