Lizaboni anasumbuliwa na UZEZETAKweli mtu akipenda chongo huliita kengeza. Post imetumwa kwa verified user ID na bado aliyetuma akaambatanisha picha yake ya leoleo. Lakini bado 'Genius wetu' unahoji kuwa siye?!
Ungepewa kulinda kaburi la Yesu, siku alipofufuka ungetangazia ulimwengu kuwa aliyefufuka ni kaburi na si Yesu!